Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,100
- 5,649
Hakuna aliyetemea kwamba Kijana msomi lakini masikini wa kutupwa wa tunisia alipojichoma moto na kupoteza maisha yake Mwishoni mwa Mwaka Juzi angeacha nyuma yake harakati za kuwaondoa madarakani Viongozi wa nchi zote ambazo wengi wa wananchi wao wamepoteza imani na matumaini ya uongozi wao. Mmoja baada ya mwingine wanaondoka madarakani bila kupenda, kote Africa na Arabia.
Ukweli ni kwamba, nguvu inayowasukuma wananchi wa nchi zote zilizowaondoa Marais wao madarakani huku makumi elfu ya wananchi wengine wakipotezesha maisha yao ni DISSATIFICATION POWER.
Kuna dissatification kubwa sana nchini sasa, na ni busara pekee ndio inaweza kutuokoa na mkondo huu wa hatari, sababu matokeo ya harakati hizi hayana mwisho mwema achilia mbali harakati zenyewe kuwa za jaziba na zenye madhira makubwa kwa wananchi wa nchi husika.
Ni Rais Jakaya Pekee ndio anaweza kutuokoa na hali hii. Hivyo naomba atupe zawadi ya Kutangaza Uchaguzi huru, ama avunje bunge na mchakato wa uchaguzi uwe ni kwa ngazi ya ubunge na Urais au nafasi ya Urais Pekee.Na uchaguzi huu uwe ni huru na wa haki.
Zawadi hii pekee ndio itatufanya tumkumbuke kwa mema, hata mambo yakiharibika huko siku za usoni hakika tutamlilia.
Watanzania tukubaliana kumpa ofa ifuatayo
1. Mshahara wake uongezwe mara kumi zaidi ya sasa
2. Alipwe mshahara wa miezi yote ambayo ataisurrender mpaka kufikia mwezi wa mwisho wa urais katika awamu hii katika utaratibu wa kawaida.
3. Na kwa sababu anapenda safari, alipwe Perdiem kwa siku zote zilizobakia kuanzia siku atakapotangaza uchaguzi mpaka siku ambayo ingekuwa ya mwisho kwake kama asingechukua maamuzi kama haya as if angekuwa nje ya nchi kwa siku zote hizo.
4. Na apatiwe ulinzi wa uhakika kuliko marais wote wastaafu.
5. N.k
Hii itatusaidia watanzania kupata Rais Mbadala ambaye anaweza kutuvusha kutoka hapa, na hakika tutaepusha tunis syndrome,
na kwa namna ya kipekee itabadilisha fikra za watanzania wote ambao kimsingi, wamekata tamaa na wanasubiri uchaguzi wa mwaka 2015 tu as if sasa hatuna rais. na hakika nguvu za kuwajibika zinaweza kuturudia
Natanguliza shukrani zangu,