Kikwete: The most handsome president in Africa

Ha ha ha ha,
Yaani baada ya kukosa kabisa sifa yoyote nzuri ya kumpa huyu bwana sasa mmeamua kumtafutia hata sifa zisizo na tija kwa taifa.
U-handsome wake uende hukohuko kwa haohao waliompendea sura wakamchagua,
Sie tunajali uchapakazi zaidi na sio ulegelege!!!
 
Ndo maana anaoa kila kukicha? Nadhani hivyo vibint vinakimbilia tu hela na wadhifa wake na sio sura kwan wangapi maface baby
 
Back
Top Bottom