KIKWETE The Fantastic President ever happened in TZ

charityboy

Senior Member
Nov 11, 2010
138
4
Ndugu zangu wanaJF. Tukubali kwamba kwa yeyote aliyemsikiliza mhe. RAIS jana kwenye hotuba yake basi atagundua kuwa JK is man of people. Jamaa ni MZALENDO sana na anafanya MAAMUZI SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI. Good JK, Keep it up.
 
Eti fantastic ...give me a break. Kwako hata vilaza ni fantastic .
 
Utakuwa kada wa chama wewe mbona hajatuambia mmiliki wa Dowans ambayo ni hot issue kwa sasa apart from katiba mpya
 
ni kweli he is the fantastic president ever, kwa yafuatayo nakubaliana na wew:-
i)uchakachuaji wa kura
ii) bingwa wa siasa za maji taka na kuchafuana
iii) mdandiaji wa hoja za watu ( kwa hil namsifu anajua kusoma alama za nyakati)
iv) uswahiba kwenye utendaji na uteuzi wake.
mwingine anaweza kuendeleza ufantastatic wa raisi wetu kuanzia hapa, sio mawazo hasi ya charity boy.
 
Eti fantastic ...give me a break. Kwako hata vilaza ni fantastic .

hata mimi nashangaa huyu jamaa hata vilaza anasema ni fantastic..wakati jamaa kashinikizwa ili tuwe na katiba mpya
 
Ndugu zangu wanaJF. Tukubali kwamba kwa yeyote aliyemsikiliza mhe. RAIS jana kwenye hotuba yake basi atagundua kuwa JK is man of people. Jamaa ni MZALENDO sana na anafanya MAAMUZI SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI. Good JK, Keep it up.

utanataka kuponza watu.

kuna watu lazima watakula ban na hii thread yako.
 
:teeth:
Wewe kijana mbona huelewi? Yaani pamoja na kuelimishwa siku zote ulizokuja JF lakini bado tu kichwa chako kigumu kuelewa.

Doh!! mtoto
wewe mbona unataka wakubwa wako tukuone kuwa sio rizki wewe.

Au ndo malezi ya ki-charity yamekuharibu kijana wetu? Jirikebishe na kuongea vitu halisi na vinavyoeleweka kijana ili tusione hasara ya kuwa nawe kijana wetu
 
mi nilikuwa nasikia mipasho tu hana lolote labda kwa kuwa hotuba yake nimeizidi akili na ufahamu
but still sijaona ufantastiki wake zaidi ya kujishebedua na mambo yake ya hovyo
 
Ndugu zangu wanaJF. Tukubali kwamba kwa yeyote aliyemsikiliza mhe. RAIS jana kwenye hotuba yake basi atagundua kuwa JK is man of people. Jamaa ni MZALENDO sana na anafanya MAAMUZI SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI. Good JK, Keep it up.

Kwa kweli huo U-charity unaopewa na hao watu utakufanya uwe zezeta/zoba. Hotuba ile haina kitu. kama ni la katiba, tusubiri tuone lini kamati itaundwa and akina nani na ina hadidu rejea gani. Pia itamaliza kazi lini!
 
Nyie vishoka hua mna tabia ya kubebana.
 
Ni kweli mzalendo sana. Lakini maana ya uzalendo wa jk kwa sababu:

Kaahidi bajaji wakati wa kampeni kwa ajili ya wajawazito

alisema chenge yu safi wakati wa kampeni
alisema anamtaka pesa2 wakati wa kampeni

labda ndo uzalendo huo.
 
Kwa kweli huo U-charity unaopewa na hao watu utakufanya uwe zezeta/zoba. Hotuba ile haina kitu. kama ni la katiba, tusubiri tuone lini kamati itaundwa and akina nani na ina hadidu rejea gani. Pia itamaliza kazi lini!

itaanza kaz akishaondoka madarakani_ili asipungukiwe nguvu ktk utawala wake
 
Ndugu zangu wanaJF. Tukubali kwamba kwa yeyote aliyemsikiliza mhe. RAIS jana kwenye hotuba yake basi atagundua kuwa JK is man of people. Jamaa ni MZALENDO sana na anafanya MAAMUZI SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI. Good JK, Keep it up.

rafiki umechemka mimi nilimuona ni worse man ever asiyejua analolifanya,wala kujua watanzania wanataka nini.naweza hata kumuona ni hopeless leader with no vision.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom