Kikwete sio wa Kumuamini

Lastname

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
921
296
Lowasa: Alikiambia kikao cha NEC mjini Dodoma,“Hakuna jambo nililolifanya ambalo wewe RaisLowasa: Alikiambia kikao cha NEC mjini Dodoma, “Hakuna jambo nililolifanya ambalo wewe Rais Kikwete hukulifahamu au hukunituma” kuhusu Richmond/Dowans.

Prof. Mahalu: “Baada ya kushukuru Kikwete alicheka na alimweleza mama huyo kuwa anamuarika Tanzania kuja kutembelea mbuga ya Ngorongoro na hiyo ndiyo shukrani yake kwa kwa Tanzania”alidai Mahalu.

Kitine, Butiku na Kaduma:Mtandao ulioanzishwa mwaka 1995 na ulikuwa wa vijana wakati huo mtandao huo ulifanya mgomo mbele ya mwenyekiti A.H Mwinyi na Nyerere. Aliongeza na kusema mtandao huo ndio umekuwa chanzo cha ufisadi ndani ya chama …….. na ndilo liloua chama

Mbona kwenye mambo yaliyorudisha taifa nyumba Kikwete ushiriki wake mkubwa sana ?
 
huyo Lowasa na yeye hafai ndio anatambua sasa kuwa hafai mbona sisi akina hoehae tulisha tambua mchizi hafai toka kitambo tu tuombe mungu amalizie kipindi chake tumweke bogazi mwingine!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom