Elections 2010 Kikwete sawa na rubani wa ndege, hivi rubani akianguka anaendesha itakuwaje?

chilamjanye

Senior Member
Oct 5, 2007
110
3
Leo nimesoma makala ya Privatus Karugendo nikaipenda sana na anachokizungumzia kina ni cha msingi sana. Kikwete Tunajua amekuwa akianguka mara kwa mara ambapo tunapata mashaka na afya yake. Huyu ndiye Rubani wetu wa ndege ya Tanzania hivi ikatokea Rubani anaendesha Angani ghafla ameanguka ndege itakuwaje. Abiria watafika kweli au ndo kifo cha kutisha. Karibu maoni wana JF
 
In Tanzania, Hakuna matata, shwari, no sweat, poa, powa: teknologia siku hizi tunatumia autopilot
 
acha utani ebu fikiria dreva anapandwa maruani muko sekenke ndo yuko speed kali na gari atatoka mtu ebu kuweni makini tusimpigie kura mgonjwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom