Kikwete sawa na Mrema wa TLP

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
Ukitafakari uongozi wa JK kisiasa yuko sawa na Mrema, wote wako empty, hamna kitu, hawezi kuongoza chochote.
 
Ukitafakari uongozi wa JK kisiasa yuko sawa na Mrema, wote wako empty, hamna kitu, hawezi kuongoza chochote.

Wewe mwenyewe usingelikuwa "empty" aka "hamna kitu" basi usingeandika wala kuanzisha mjadala uliojaa upupu! Lakini JF japo inajiita "house of great thinkers" lakini wamejazana watu wanaofanana na wewe zaidi kuliko great thinkers! Teh teh teh :tonguez:
 
Apart from Slaa mwenye PhD kwenye sheria za kanisa kutoka Vatican, hivi yule Mbowe, na mgombea wake mwenza (hata jina halijulikani), na John Manyika wana elimu gani vile?
 
Ukitafakari uongozi wa JK kisiasa yuko sawa na Mrema, wote wako empty, hamna kitu, hawezi kuongoza chochote.

WASTED :llama:
Nakubaliana na wewe. Hata Lowasa nae muunge katika kundi hilo
WASTED :llama:
kinana na makamba nao waingize humo.
WASTED :llama:

woooooote hao wanachakachua nchi yangu ya asali na maziwa
WASTED :llama:

ongeza makongoro nyerere na rizone na tambwe hiza na malaria s
WASTED :llama:

Rostam Aziz mjumuishe kwenye hilo kundi la kitimotoz
WASTED :llama:

msimsahau Kingunge naye na Chenge

Naweza kukubaliana na wewe kidogo chenge ni mistake ya serikali ya mkapa

..........................n wanachama wote wa CCM

WASTED :llama:
 
Wewe mwenyewe usingelikuwa "empty" aka "hamna kitu" basi usingeandika wala kuanzisha mjadala uliojaa upupu! Lakini JF japo inajiita "house of great thinkers" lakini wamejazana watu wanaofanana na wewe zaidi kuliko great thinkers! Teh teh teh :tonguez:

KWENDA SHULE NI MBALI MBALI NA kUTOKUWA NA KITU KICHWANI, HAO WAKO EMPTY PERIOD
 
Jakaya Kikwete
Mrema Lyatonga
Chiligati
Makamba
Tabwe Hiza
Sophia Simba
hao watu wanakaribiana sana kiuwezo wa kufikiri, lakini Makamba ana akili kuliko woote, ni mtu mwenye HEKIMA na BUSARA kuliko woote, ndio mwanaccm tegemeo.
 
Ukitafakari uongozi wa JK kisiasa yuko sawa na Mrema, wote wako empty, hamna kitu, hawezi kuongoza chochote.

Mrema ni empty sana Jamani. Kikwete hajashuka hivyo though Tanzania imemshinda kuiongoza
 
mwingine ni Dk.Kawambwa.
65487_159580094059667_100000230312133_420994_1161851_s.jpg
 
muna mtu mmjoa mmemsahau, yeye siyo empty tu bali ni hola kabisa, marmo wa ofisi ya rais utumishi + hawa ghasia, wote upupu mtupu. na yule ambaye hazimtoshi mzee wa kulisha watu majani, mramba.
 
Back
Top Bottom