Kikwete ongea nasi live tena kama kipindi kile cha tido pale TBC, Ninalo moja tu lakuuliza

MBURE JASHA

JF-Expert Member
May 7, 2011
200
46
Mh. Rais Pole na matukio! or sory majukumu,

Kuna kipindi ulitaka kubadilisha staili ya kuongea nasi kama mr clean alivyokuwa anatuhutubia kila mwisho wa mwezi (yeye kila Mwezi alikuwa anachonga na watz).ingawa recorded. Wewe ukaja na moja mpya na ki ukweli ilikuwa nzuri. Kuongea live na lupokea simu za Wa Tz.

Ungeendelea nayo haki ya Mungu wakina Jairo,Anna Makinda ,Maghembe ,Sitta , Lowasa wasingekuchezea kama wanavyofanya sasa.
Umegundua nini mkubwa!

Rudia tena hata mara moja tu kwa mwaka. ninalo la kuuliza
 
Hivi kweli utaratibu ule umeishia wapi...Alisifiwa sana na vyombo vya habari kuwa ni MSIKIVU, ajabu ameitupa TUNU hiyo ya wananchi..
Ni lazima kuna makubwa yalimpata!
 
Nyie ulikuwa Uhuni ule ukagundulika siku ya pili yake. Maprofessor wa vyuo vikuu na watz walijaribu kupiga simu zile zilikuwa hazipatikani walikuwa wame record. Huwezi kuongoza nchi kwa ujanja ujanja tu
 
Mh. Rais Pole na matukio! or sory majukumu,

Kuna kipindi ulitaka kubadilisha staili ya kuongea nasi kama mr clean alivyokuwa anatuhutubia kila mwisho wa mwezi (yeye kila Mwezi alikuwa anachonga na watz).ingawa recorded. Wewe ukaja na moja mpya na ki ukweli ilikuwa nzuri. Kuongea live na lupokea simu za Wa Tz.

Ungeendelea nayo haki ya Mungu wakina Jairo,Anna Makinda ,Maghembe ,Sitta , Lowasa wasingekuchezea kama wanavyofanya sasa.
Umegundua nini mkubwa!

Rudia tena hata mara moja tu kwa mwaka. ninalo la kuuliza
Mimi ninalo moja tu la kumuuliza kwamba mwanae Ridhwani amepata wapi utajiri anaomiliki leo hiii?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom