Kikwete On TBC1: Aongea na wazee wa mkoa wa Dar

mfumuko wa bei kenya asilimia 19, uganda 30 na Tanzania 17 ni tatizo la wote lakini serikali inafanya juhudi kupambana na tatizo hili
 
Eti anasema kuna waziri wake mmoja alikwenda nchi fulani, na alipoingia supermarket akakuta sukari za tanzania tu
anashangaa sisi tunapiga kelele tu wakati tunazalisha vitu hadi vinakwenda nje ya nchi
 
Naona ameongelea na phd aliyopewa udsm na ndg Museven,anasema hili tatizo la kushuka kwa hela ni dunia nzima
 
Jk anajitetea kuwa matatizo ya kiuchumi ni ya dunia nzima na sio tatizo le2 peke yetu.,daa
 
anaongea vitu vizito sana kwa hawa wazee, masuala ya inflation, mfumuko wa bei, strategies to upgrade economy, etc
hapa zinatajwa data tupu.
 
Haaaaaaaa kushuka kwa thamani ya Tsh yetu sio sisi tu hata kenya,uganda,india zote hizo nchi fedha yao imeshuka thaman vs $
 
Hiyo glass hapo kwenye meza ni kinywaji gani anatumia huyu mkulu?
 
Umeme unaaanza kupatikana kwa uhakika mwezi dec 2011 kwa hatua za muda mfupi lakini kasema na hatua za muda mrefu
 
Anaongelea maadhimisho ya miaka hamsini ya uhuru,anafurahia wanavyosherekea uhuru,na anaongelea mchakato wa katiba,anasema katiba ya leo si mbaya,wazee wanashangilia
 
Haya sasa anaongelea katiba....anasema katiba ya sasa si mbaya na anapigiwa makofi na hawa wazee
 
Katiba yetu ya sasa ni nzuri na imelilea taifa vyema-jk;;;wazee wa ccm wanamshangilia sana hapa
 
Na maadhimisho ya miaka hamsini ameyaanza..ameingilia katiba mmmmmh mi naudhika na sign out ntatapika mauchuro yanayoendelea nahisi sina uvumilivu wakusikia nsichokipenda na nsichokiamini.....
 
Back
Top Bottom