Kikwete On TBC1: Aongea na wazee wa mkoa wa Dar

Mwisho wa mwezi huu atakuwa bujumbura .... hali ya uchumi anasingizia hali ya kiuchumi wa dunia
 
anaongelea mambo mawili uchumi na katiba,anasema nchi zilizoendelea zina matatizo ya kiuchumi
 
anasema hata Italy wamepata matatizo ya kiuchumi na euro haina kitu....sembuse Bongo?
 
greece, spain, na nchi nyingine kazitaja ziko kwenye msukosuko wa uchumi na EUro imepungua dhamani kwa kasi.
 
thamani ya dola imepanda na bei ya mafuta imepanda wakati sarafu zingine zenye nguvu zinapungua thamani yake
 
Hotuba inaendelea kama kawa kisa cha uchumi wetu kupuputika ni pipa la mafuta hukooooo uarabuni...antoa historia ya mfumuko wa bei na kupanda kwa gharama za vyakula......mmmh presidaaa wetu mcheshi.....
 
Hapa ndiyo huwa nashindwa kuwaelewa viongozi wa Bongo! yaani baada ya kiini cha matatizo yetu na tufanyeje ili tujikomboe,
badala yake wanaleta story na mifano ya nchi za nje....hebu angalia mkulu na hii mifano yake hapa
 
anaelezea hatua ambazo serikali inachukua kupitia benki kuu ha hasa kwa matatizo yaliyo ndani ya uwezo wetu
 
Back
Top Bottom