Kikwete on StarTV

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
Kama uko karibu na TV tune starTV

anafanya mahojiano na StarTV, ni kipindi recorded (not live) but worthy watching.

anaongea kwa 'mbwembwe' jinsi EU + America wamejicomit kuisaidia Tanzania, anasema jamaa 'watatusaidia' dola milioni 897 za kimarekani, nasisitiza anaongea mbwembwe huku anaji-adjust kwenye kiti
 
Mbona taarifa anazoongea ni za siku nyingi? Kipindi sio live bana! Hii si MCC ya mwaka juzi uko?
 
Ngoja nijifariji na kufurahisha macho maana hata huyo mtangazaji nae anaogopa kumuuliza
 
Kweli kakaangu huyu simwelewi naona anaigusia kimtindo cdm
 
porojo tu, mie napiga mluzi tu hapa wa tune ya ile nyimbo ya ukombozi, Chadema, chadema peoples poweeer!
 
Kama uko karibu na TV tune starTV

anafanya mahojiano na StarTV, ni kipindi recorded (not live) but worthy watching.

anaongea kwa 'mbwembwe' jinsi EU + America wamejicomit kuisaidia Tanzania, anasema jamaa 'watatusaidia' dola milioni 897 za kimarekani, nasisitiza anaongea mbwembwe huku anaji-adjust kwenye kiti
dola milioni 897 = kuji-adjust kwenye kiti...dig?
 
Kama uko karibu na TV tune starTV

anafanya mahojiano na StarTV, ni kipindi recorded (not live) but worthy watching.

anaongea kwa 'mbwembwe' jinsi EU + America wamejicomit kuisaidia Tanzania, anasema jamaa 'watatusaidia' dola milioni 897 za kimarekani, nasisitiza anaongea mbwembwe huku anaji-adjust kwenye kiti
Japo umeniudhi kwa kutoa taarifa ya kuonyesha Raisi wangu alivyomhemeaji,mtia aibu ya kuwa mtembeza bakuri lakini hilo la kuringa akitangaza alivyo matonya limenichekesha kupita kiasi
 
sasa we froida unaudhika nini? ila umenifurahisha sana kwa kweli
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom