Kikwete, Obama, Bush, Clinton to Participate in AIDS panel discussion

Alpha

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
662
251
U.S. President Obama and predecessors , Bush, Clinton to participate in AIDS talk​

President Barack Obama">Obama and his immediate predecessors, George W. Bush and Bill Clinton, will join anti-AIDS advocates Thursday in a panel discussion to observe World AIDS Day.Bush, who will be in Tanzania, and Clinton will participate via satellite.
The discussion will be at George Washington University in Washington and will be streamed live on YouTube. Organizers say they hope to build on progress already made in the fight against the virus. The event is sponsored by ONE and (RED), organizations that combat global poverty and AIDS. Among the panelists will be Bono, lead singer of the band U2 and co-founder of ONE and (RED).
Other participants include President Jakaya Kikwete of Tanzania; Republican Sen. Marco Rubio and Democratic Rep. Barbara Lee.

U.S. President Obama and predecessors , Bush, Clinton to participate in AIDS talk - Taiwan News Online

Kwa nini Tanzania? Botswana tunaambiwa zaidi ya 50% ya population ni HIV+, kwa nini wasiende huko? Yes HIV/AIDS ni tatizo lakini kati ya matatizo makubwa tuliyonayo yamesababishwa na HIV/AIDS? Mara malaria mara HIV. Ni kitu gani hakijulikani kuhusu HIV/AIDS?

Natamani Tanzania tungekuwa na chombo cha kuratibu/kutoa mwongozo juu ya rasilimali kama gas, oil, uranium, Tanzanite, gold etc. Iwekwe mikakati kabisa kwamba tunaruhusu nchi fulani i.e marekani kuchimba uranium mahali fulani kwa muda fulani in exchange kwa kitu fulani. Kwa mfano tungekuwa na reli ya uhakika watu wengi wangepata nafauu ya maisha na hata bisahara ingeimarika ndani ya nchi na pia nchi jirani. Kwa nini usimwambie mtu kama marekani unataka uranium? fine, chimba hapa kwa miaka kadhaa lakini kwa masharti nataka world class train system toka Kigoma to Namanga by this date. Hutaki nice meeting you! Uranium haiozi.

Lakini kama viongozi wetu watandelea kuuza rasilimali za nchi hii kupitia mijadala kama hii HIV/AIDS hatutapona. Kikwete amekuwa dhaifu sana kwenye hili.
 
hawana lolote hao wanataka madini yetu kwa kisingizio cha kupambana na malaria na ukimwi. na kwa kuwa mzee wa msoga anapenda sifa za bei chee, lazima atashiriki.
 
Kwa nini Tanzania? Botswana tunaambiwa zaidi ya 50% ya population ni HIV+, kwa nini wasiende huko? Yes HIV/AIDS ni tatizo lakini kati ya matatizo makubwa tuliyonayo yamesababishwa na HIV/AIDS? Mara malaria mara HIV. Ni kitu gani hakijulikani kuhusu HIV/AIDS?

Natamani Tanzania tungekuwa na chombo cha kuratibu/kutoa mwongozo juu ya rasilimali kama gas, oil, uranium, Tanzanite, gold etc. Iwekwe mikakati kabisa kwamba tunaruhusu nchi fulani i.e marekani kuchimba uranium mahali fulani kwa muda fulani in exchange kwa kitu fulani. Kwa mfano tungekuwa na reli ya uhakika watu wengi wangepata nafauu ya maisha na hata bisahara ingeimarika ndani ya nchi na pia nchi jirani. Kwa nini usimwambie mtu kama marekani unataka uranium? fine, chimba hapa kwa miaka kadhaa lakini kwa masharti nataka world class train system toka Kigoma to Namanga by this date. Hutaki nice meeting you! Uranium haiozi.

Lakini kama viongozi wetu watandelea kuuza rasilimali za nchi hii kupitia mijadala kama hii HIV/AIDS hatutapona. Kikwete amekuwa dhaifu sana kwenye hili.

Mimi huwa nasema tanzania sio nchi maskini. Umaskini wetu ni viongozi tulionao ambao wanawaza kwa kutumia matumbo yao muda wote. Hawaoni mbali wanapenda kujipendekeza pendekeza tu kwa wazungu. Hawafikirii kujitegemea hata siku moja. wengine wanajenga uchumi wa nchi zao yenyewe yanakaria kuombaomba tu na kupewa misaada. Yanaona misaada dili. Leo hii wamepewa msaada wa sensa 20bill, bunge litumia 28bill Kama posho. Hivi hii ni akili kweli. Lazima tufanye mapinduzi
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Kwa nini Tanzania? Botswana tunaambiwa zaidi ya 50% ya population ni HIV+, kwa nini wasiende huko? Yes HIV/AIDS ni tatizo lakini kati ya matatizo makubwa tuliyonayo yamesababishwa na HIV/AIDS? Mara malaria mara HIV. Ni kitu gani hakijulikani kuhusu HIV/AIDS?

Natamani Tanzania tungekuwa na chombo cha kuratibu/kutoa mwongozo juu ya rasilimali kama gas, oil, uranium, Tanzanite, gold etc. Iwekwe mikakati kabisa kwamba tunaruhusu nchi fulani i.e marekani kuchimba uranium mahali fulani kwa muda fulani in exchange kwa kitu fulani. Kwa mfano tungekuwa na reli ya uhakika watu wengi wangepata nafauu ya maisha na hata bisahara ingeimarika ndani ya nchi na pia nchi jirani. Kwa nini usimwambie mtu kama marekani unataka uranium? fine, chimba hapa kwa miaka kadhaa lakini kwa masharti nataka world class train system toka Kigoma to Namanga by this date. Hutaki nice meeting you! Uranium haiozi.

Lakini kama viongozi wetu watandelea kuuza rasilimali za nchi hii kupitia mijadala kama hii HIV/AIDS hatutapona. Kikwete amekuwa dhaifu sana kwenye hili.
Badala ya kuja kutuondolea kikwete na magamba yake wanashughulikia aids? Mbona sisi condom tunazijua?
 
Paka Jimmy said:
Wasaidizi wake wamwandalie desa lililoshiba, asije akatudhalilisha!
Desa halisaidii lolote mkuu!

Tatizo ni kwamba hawa wazungu wanaanzisha magonjwa ili kutumaliza na pia kuuza madawa yao...Na "Madarling" wao wote ni vichwa nazi,fwatrilia mkuu!Kuanzai kina Mobuttu,Charles Taylor etc

Ni kama biashara waliyo nayo ya kuwasaidia waafrika,kama ni kweli waafrika watajikomboa na kutokuhitaji misaada yao,basi ni wazi chumi zao zitatetereka...Huo ndo ukweli.

Nikupe mfano mmoja...Hivi mkuu malaria hujui kuwa Marekani walikuwa nayo hadi miaka ya karibuni tu? Unadhani hawakujuwa issue za neti za mbu?

Is that the way to eradicate malaria?

Some ways of thinking bana!

JK yuko upande wa wateja wao tu na si lazima we smart kihivyo,kwani akiwa smart hawatampenda.
 
Kwa nini Tanzania? Botswana tunaambiwa zaidi ya 50% ya population ni HIV+, kwa nini wasiende huko? Yes HIV/AIDS ni tatizo lakini kati ya matatizo makubwa tuliyonayo yamesababishwa na HIV/AIDS? Mara malaria mara HIV. Ni kitu gani hakijulikani kuhusu HIV/AIDS?
Natamani Tanzania tungekuwa na chombo cha kuratibu/kutoa mwongozo juu ya rasilimali kama gas, oil, uranium, Tanzanite, gold etc. Iwekwe mikakati kabisa kwamba tunaruhusu nchi fulani i.e marekani kuchimba uranium mahali fulani kwa muda fulani in exchange kwa kitu fulani. Kwa mfano tungekuwa na reli ya uhakika watu wengi
wangepata nafauu ya maisha na hata bisahara ingeimarika ndani ya nchi na pia nchi jirani. Kwa nini usimwambie mtu kama marekani unataka uranium? fine, chimba hapa kwa miaka kadhaa lakini kwa masharti nataka world class train system toka Kigoma to Namanga by this date. Hutaki nice meeting you! Uranium haiozi
Lakini kama viongozi wetu watandelea kuuza rasilimali za nchi hii kupitia mijadala kama hii HIV/AIDS hatutapona. Kikwete amekuwa dhaifu sana kwenye hili.
Please understand that the Gorvrnment of United States of America through Presidents Aids Relief Programe has made a huge difference in Health care of people with HIV in this country. One should be careful when trying to suggest that the efforts are for some economical gain for USA. Please understand the difference between the Relief and it's absence is like comparing LIFE TO DEATH. A lot of people would have been part of history had not been for the personal efforts of Presidents Bush and Clinton. Politics and economic aside let's us show appreciation to " the gift of life" from these presidents and their government.
 
@IPECACUANHA, with all due respect, I stand by my comment (120%). Tanzania does not need aid, we do not need aid, we need to manage our resources better. We will never end poverty by relying on foreign aid, we simply need to trade our way out of poverty. If you have money in your pocket you can buy all the drugs in the world. AIDS is big problem I agree, but I also believe there is great link between AIDS and poverty.
 
Niwe Mkweli kwamba siwapendi wazungu kabisa maana ni wanafiki sana, Obama ni mweusi lakini tukae tukielewa kwamba hadi kufikia kuchaguliwa Rais wa Marekani, atatetea na kutekeleza sera za Taifa hilo siku zote za maisha yake. Hapa si tu kwamba wanafanya kutuzuga kujadili suala la HIV/AIDS na kuacha mambo ya msingi, bali wamekuwa wakitumia sana siku za karibuni kutuchanganya na kutafuta mbinu zozote za kuhakikisha sisi kama Afrika hatushikani wala kusonga mbele.

Wameshahakikisha wamemuua Gadaffi, sasa wanamsakama El-Bashir. Ingawa sijafuatilia kwa undani naanza kuamini Wamarekani na mataifa mengine makubwa wana mkono Al-Shabaab, historia inatuonyesha ni jinsi gani mataifa haya makubwa yaliwahi kuwatumia hawa hawa akina Osama na Al Zawahir kupambana na wenzao wakati huo kisha wakaja kugeukana na kuanza kutafutana miaka ya karibuni. Nahisi.., nasema tena kwamba nahisi... Al-Shabaab hawajaja ila wameletwa, imepita muda wakiwa hapo Somalia bila ufuatiliaji wowote lakini wakaonekana hawana madhara makubwa. Wakaambiwa wawachokoze Kenya, kisha Kenya wakaambiwa msikubali kuchokonolewa wafuateni kabisa huko kwao kisha muwamalize mkishindwa tutawasaidia msijali. Kenya wakadumbukia Somalia, sasa imeshakuwa taabu maana wamevua nguo kuruka bwawani wamegundua maji ni mengi kuliko walivyokuwa wanafikiri. Hawajakaa vizuri wakaambiwa El Bashir alishawahi kuja hamkumkamata, sasa ili akija muwe na uwezo wa kumkamata toeni warranty kutoka hapo hapo Mahakama Kuu ya Kenya???? Pumbaf, non-sense... Je itakuwaje Kesho Mahakama Kuu ya Tanzania ikitoa warranty ya kumkamata Kibaki??? itakuwaje Uganda wakitoa warranty ya Kumkamata Kikwete??? Waafrika tunagombanishwa na hawa wazungu tukiwa tunaangalia kwa macho yetu wenyewe. Kwanini tunaendekeza sera na kuwasikiliza hawa wazungu kwa kiasi kikubwa hadi tunajiharibia wenyewe? angalia sasa El Bashir na Kenya hawataongea tena, mabalozi wesharudishwa makwao na urafiki kwisha.

Kwa mwendo huu, nakuambieni hatuna muda mrefu tutaanza kudundana wenyewe kwa wenyewe. Kama hizo ni zile njama zao za kuvuruga dunia kisha waweke system wanayoijua wao basi inakuja kwa kasi sana maeneo yetu sasa hivi. Nina hakika hatuna tena Rais wa nchi yeyote Afrika anayeweza kusema lolote kuhusu haya mambo yanayoendelea, wazungu wanazidi kuja kutuvuruga kwa kasi kila wanapoona kuna nafasi ya kufanya hivyo kwa udhaifu wetu. Wao wanatumia muda mwingi kujiimarisha na kuhakiki sisi hatuendi popote, watachukua rasilimali zote mkikataa na msipokuwa makini wanawagombanisha na wakati ninyi mnauana wao wanaongeza mafuta kwenye moto kwa kuwauzia silaha huku wakibadilishana na rasilimali za nchi husika. Wanachukua kila kitu na kujidai wanawapatanisha na kuwajengea nchi.

Sitaki kutabiri kitachotokea wala sitopenda kitokee, ila kama Mungu anaona linalotokea na analiacha litokee basi lina sababu ya kutokea ingawa litatuumiza sana muda si mrefu unaokuja. Wenye kujua kama hili liliandikwa litokee watujuze na wenye data zaidi naomba michango yenu tujue kama ni kusubiri tumezwe ama tujue kama kuna la kufanya kuepuka haya, mimi niko tayari kufia hapa kama Gadaffi.
 
Back
Top Bottom