Capitol Hill
JF-Expert Member
- Oct 19, 2007
- 749
- 48
Nilikuwa nasoma gazeti la Majira kuhusu Press Conference ya Rais Kikwete na nimefurahishwa na baadhi ya majibu ya maswali kuhusu ahadi zake za maisha bora kwa kila m-Tanzania.
Rais Kikwete alisema tofauti na mawazo ya baadhi ya watu kuwa ahadi hiyo imeshindwa kutekelezeka katika kipindi cha miaka miwili ya utawala wake, kilichofanyika ni kuweka misingi imara kwenye maeneo muhimu na kitakachofuata ni utekelezaji kuelekea mwaka 2010. "Ahadi ni za miaka mitano, tumeweka misingi, sasa tunapoelekea mwaka 2010 tunaweka matofali. ". (Source: Majira Ijumaa December 21, 2007)
Hivi haya si ndio yale yale maneno matamu tunayoyasikia kwenye kampeni za uchaguzi kila baada ya 5 years? Yale ya "Nipeni miaka mingine 5 ili nimalizie kazi, miaka 5 iliyopita nilikuwa najipanga vizuri".