Kikwete ni Mwandishi wa vitabu

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
nimeshtuka sana niliposikia Kikwete anaandika vitabu,naomba kujua kama kuna watu watavisoma au ni mawazo yangu,kwa jinsi watu wanavyo look down on him vitapata soko?je unafikiri ataandika nini kwenye hivyo vitabu?
 
Kitakuwa ni kitabu cha hadithi juu ya safarizake za nje ya nchi na maajabu aliyokutananayo wakati yeye anarudi na vyandarua anapishana na dhahabu na tanzanite toka tz kwenda ulaya.
Pengine pia kitaeleza kilichomo kwenye bakuli alilokuwa akilitembeza.
 
siyo kuandika labda kuandikiwa, the man has never been to school since he left college in 1978. huwezi kuwa mwandishi
wa vitabu kama si msomi wa vitabu since he became i never seen a book on his has hand hata kwa bahati mbaya, in his
conversion i never heard him refer to any book he had read recently, the man is a disaster.
 
Nadhani ni hatua nzuri, I just hope ataandika kila kitu kuhusu matukio muhimu i.e kuvunjika kwa baraza la mawaziri wakati wa Richmond, migongano ya mawazo/mitazamo ndani ya chama tangu achukue uenyekiti, wazo la mke wake kugombea nafasi NEC lilukujaje na yeye kama mume na rais ali-react vipi? etc.

Africa tuna upungufu sana wa taarifa za namna viongozi wetu wanavyo-handle matukio mbalimbali. Kwa mfano Bush alishaandika experience yake including Sept 11, Clinton na wengine walishafanya hivyo hivyo, so kwa Kikwete kuupa umma experience yake is a good thing. Nasubiri kwa hamu.
 
Du si wazo lake jamani ni la wale vibaraka wake wanaojikomba na ndio watakaoandika. Yeye binafsi hana cha kuandika na akili hiyo aipate wapi ebu semeni wa Tz
 
duh hata mm ngoja niandike
ila.tuache utani aisee tuwe na mpango wa kusoma vitabu
 
Masihara hayo, Kama akiandika vitabu vya namna ya kucheza taarabu unafikiti vitakuwa vya kitoto? Kila Mtu na Eneo lake la Kazi.

QUOTE=episodes;4688497]nimeshtuka sana niliposikia Kikwete anaandika vitabu,naomba kujua kama kuna watu watavisoma au ni mawazo yangu,kwa jinsi watu wanavyo look down on him vitapata soko?je unafikiri ataandika nini kwenye hivyo vitabu?[/QUOTE]
 
bila shaka atakuwa kitaitwa miaka 10 ya ANASA IKULU YA DAR NA HAKUNA UTAKATIFU KAMA ALIVYOWAHAI KUTAMKA MWALIMU.
Kitakuwa ni kitabu cha hadithi juu ya safarizake za nje ya nchi na maajabu aliyokutananayo wakati yeye anarudi na vyandarua anapishana na dhahabu na tanzanite toka tz kwenda ulaya.
Pengine pia kitaeleza kilichomo kwenye bakuli alilokuwa akilitembeza.
 
nishasikia sana DON'T JUDGE A BOOK BY ITS COVER ila sijasikia DON'T JUDGE A BOOK BY ITS AUTHOR, vipi hii ipo?pengine tusubiri kitoke, kiangaliwe maudhui yake, ni kama kwenye mpira wa miguu, wale wachambuzi mahiri wa soka (soccer pundits) wengi wao ni failures kwenye ukocha na au uchezaji, makocha wengi wazuri ni failures kwenye kuucheza mpira wenyewe wakati wachezaji mahiri ni failures kwenye ukocha na upunditsKikwete anaweza kuwa failure kwenye usimamizi au utekelezaji ila akawa ana sera nzuri sana ambazo zikimpata awezae kuzitekeleza vyema tukapiga hatuaLet's wait and see!!
 
Titles ; the flying president , how i ruled from the sky, fly while in power, siamini kama nimeweza kuwa raisi wabongo mazuzu, hata ukipigwa mawe uraisi mtamu jamani
 
episodes we hii habari umeipata wapi usije ukawa umeiandika kichuki zaidi.Nipe source na ufafanuzi yakinifu coz ur thread is incomplete.
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahahahahahahhhhha!wonders shall never cease. naamini moja ya mada katika kitabu hicho itakuwa jinsi ya kuwawezesha wanawake kwa wao kuwa wajasiriamiili and then kupewa ubunge wa vitanda maalumu.hahahahahahahaaaaa!!
 
Back
Top Bottom