Kikwete ni muongo nilikuwa sijui

Watu waliolelewa katika mfumo wa chama kimoja tena wakati wa vita baridi ni maarufu sana kwa propaganda. wanasahau kuwa mambo yamebadilika na wao pia wabadilike. NawAshauri wajue kuwa sote tunajenga pomoja tena kitu kimoja uwongo wa nini?
 
Ccm wameshindwa kuwang'oa magamba hao mafisadi na ndio maana fisadi mkuu lowasa alitamba bungeni kwamba serikali imeshindwa kuwang'oa. Lazima ccm ipigwe chini.
 
Subiri NEC ikikaa ndipo utaleta upupu wako hapa JF! Washauri viongozi wako wa Chadema,hujui mtu muongo CDM anasema wabunge wanalipwa hela nyingi badae ana acha ubunge analazimisha alipwe kama mbunge!
 
Hapo hata sie wanachama hatuna cha kujibu,
mna haki ya kutunyanyasa na kutuzodoa kwa hili la kujivua gamba ktk siku 90,
atakae wabishia huyo kazidi UNAFKI
Jamaa zetu waongo
Mkuu nakubaliana kwa kiasi ungawaje siendi mbali kusema ni unafiki, maana Kiongozi in priciple haongopi.
Hata hivyo kwa matukio ya kisiasa ya hivi karibuni sincerety na intergrity ya uongozi imeshuka sana mbele ya wana CCM.
 
hivi pale jangwani alipotoa amri palisha bomorewa au mabati bado yapo

 
JK mwama 1995 Viwanja vya Temeke mwisho alikuwa anamnadi Sisco JK akiiwa Nishati kama Waziri aliongopa wazi wazi juu ya maji Temeke.Alisema World bank wametoa pesa specifically kwa ajili ya Temeke na baada ya uchaguzi na hasa wakimchagua Sisco maji yatakuwa historia Temeke .Baada ya Uchaguzi Mrema alishinda .NIkakutana naye London Hilton Hotel nikamuuliza yale maji ya Temeke vipi ? Akasema hivi , Lunyungu wewe hukutaka wanangu waende chooni ? Kwa maana ya kwamba yeye alitaka kura na mambo ya maji ilikuwa siasa .Alipo chukua form hata kuwa mgombea pekee CCM nilitaka kufungua kesi kumpinga kwa kuwa alisema uongo chini ya kiapo maana alikuwa ni waziri wakati anasema yale .Ndipo nikajua Tanzana tunakaribisha balaa kwa kumpa urais .Na kweli tunajionea wenyewe .
 
jamani si bado siku moja? subrini hadi siku ya 90 ifike. halafu mbona hapo kwenye picha hizo kadi za CDM zote zinaonekana km bado ni mpya kabisa? ni mtazamo tu.
 
hawana lolote hawa ndo maana wanataka watu wazid kuwa maskini na wajinga ili kipindi cha uchaguz wamwage fedha wazid kutawala
 
Umesahau alivyosea wakati ule ili Mtera ijae zinahitajika vua za elnino majira tatu!!!!
Nakumbuka uongo huo na Mvua zilinyesha kidogo bwawa likajaa wakaficha nyuso zao! kiama chao hakipo mbali maana wameshaanza kuchokwa hadi na wazee siku watajiibia hadi kura zao
 
Hii ni aibu ya kichwa cha mwendawizimu,na sizan kama kikwete an aman ndan ya moyo wake.
 
jamani si bado siku moja? subrini hadi siku ya 90 ifike. halafu mbona hapo kwenye picha hizo kadi za CDM zote zinaonekana km bado ni mpya kabisa? ni mtazamo tu.

Ulisema bado siku moja ambapo ilikuwa jana na leo ni trh 10 july na ndiyo siku 90 zimekamilika ,,mkuu ni gamba lipi limeng'oka?????
 
Kwanini hisiwe aibu kwetu sisi tunadanganywa kila siku na hatukomi kudanganywa? au mnataka kuniambia kuwa sasa tumekoma kudanganywa na CCM wajue hilo!
Ndugu kauli mbiu yetu ni "hatudanganyiki", we kama umedanganywa ni kwa sababu u mmoja wa hao magamba.
 
Subiri NEC ikikaa ndipo utaleta upupu wako hapa JF! Washauri viongozi wako wa Chadema,hujui mtu muongo CDM anasema wabunge wanalipwa hela nyingi badae ana acha ubunge analazimisha alipwe kama mbunge!
Teh teh teh!!! Hivi NEC ndo nini vile........!!?? Ukweli unauma dada........
 
Jamaa ni msanii tu, everybody knows that. Yeye mwenyewe anajijua kuwa msanii. CCM is a malfunctioning comedy club. Too bad for them, their sick jokes are biting them in their sorry asses!
 
Akija hapa Nepi sorry Nape utasikia mlimtafsir vibaya JK hakusema hvyo.... Teh Teh Teh siasa za maj taka hizi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom