Elections 2010 Kikwete ni kiraza sana? Hudanganywa kila wakati

chilamjanye

Senior Member
Oct 5, 2007
110
3
KIKWETE NI KIRAZA SANA? HUDANGANYWA KILA WAKATI

Rais anayemaliza muda wake ameonekana kuwa na uwezo mdogo wa kuongoza kwani amekuwa akidanganywa kila wakati. Pamoja na kupewa cheki feki alidanganywa pia kwa kuwekewa vipengele vya sheria kwenye sheria ya kuthibiti matumizi mabaya wakati wa Uchaguzi mpaka pale Mbunge Makini Dr.Wilbroad Slaa alipogundua na kuwashtua serikali kwa kudanganyana. Pia tulishuhudia akihairisha dhifa ya kukabidhi Magari baada ya kuletewa mkurugezi tofauti na yule aliyetakiwa kuja kupokea gari, Alifungua Hoteli Arusha ambayo Kesho yake Geti lilivujwa kwa sababu lilijengwa eneo la barabara (Road Reserve) na Aliwekewa Mafuta yaliyochakachuria kwenye Magari yake. Sasa nasikia pia pamoja na kuumwa sana tu kufikia kuanguka mara kwa mara madaktari huwa wanamdanganya kwamba haumwi na yeye anakubali.
 
mkuu maneno kama hayo ndio yalioffuta post ya jana kj black and white
nami post yenu kabla hamjapost angalia kama ipo inayoendana na unayotaka kupost kisha changia huko
mod unganisha hii post na https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/72545-kwani-kikwete-ana-tatizo-gani.html
 
Huyo ni anayetaka kututoa kwenye hoja mbona wanaanika mambo binafsi ya silaa hajasema?
 
Tunachambua mambo yenye ukweli kabisa hapa ambayo hajui kama Kikwete amekuwa akidanganywa mara kwa mara ni nani
 
Na wala sijawhi kumsikia Kikwete akiwachukulia Hatua wote waliomdanganya yawezekana mpaka leo hajui kama alidanganywa
 
Back
Top Bottom