Kikwete ndiye Rais wa maendeleo Tanzania

Rais jakaya mrisho kikwete ndie Rais pekee anayeleta maendeleo yanayoonekana kwa macho katika zote za maendeleo 1. Elimu. ameasisi amejenga kila kata secondari na ameboresha kwa kiasi kikubwa majengo ya shule, leo tunapoöngea watoto wanaoingia secondari leo imeongezeka ukitofautisha na huko nyuma leo watoto wa masikini wanapata fursa yakuendelea mbele. Leo amejenga chuo kikubwa kuliko vyote Afrika mashariki kilicho na uwezo wa kuchukua wanafunzi 40000, leo kuna vyuo vyuo vikuu zaidi ya 40. 2.Afya. amejenga vituo vya afya vingi tembea uone, leo hospitali ya afya muhimbili vitengo vingi mf. kitengo cha upasuaji wa moyo, ameziboresha hospitali za zamani na kuonekana ni za kisasa, mf. maweni kigoma. 3. Barabara. amejenga ba rabara nyingi nyingi mf. mmtwara-Lindi, na leo anaiunganisha kigoma kupitia mmto malagarasi ambapo kutajengwa daraja kubwa na barabara kwa kila upande kilometa 60 Leo yupo anahangaika huku na huku na kule kuhakikisha analimaliza tatizo la umeme ambapo si muda mrefu litakuwa historia, jamani mbona mnajifanya mmetia pamba masikioni na kuvaa miwani ya mbao? mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!!!

I am sorry to call you crazy,lakini wewe ndiye uliye nifikisha hapo.Kama uko JF kutetea uovu umegonga mwamba. Uovu wenu uko dhahiri kwa kila Mtanzania.
 
rais jakaya mrisho kikwete ndie rais pekee anayeleta maendeleo yanayoonekana kwa macho katika zote za maendeleo 1. Elimu. Ameasisi amejenga kila kata secondari na ameboresha kwa kiasi kikubwa majengo ya shule, leo tunapoöngea watoto wanaoingia secondari leo imeongezeka ukitofautisha na huko nyuma leo watoto wa masikini wanapata fursa yakuendelea mbele. Leo amejenga chuo kikubwa kuliko vyote afrika mashariki kilicho na uwezo wa kuchukua wanafunzi 40000, leo kuna vyuo vyuo vikuu zaidi ya 40. 2.afya. Amejenga vituo vya afya vingi tembea uone, leo hospitali ya afya muhimbili vitengo vingi mf. Kitengo cha upasuaji wa moyo, ameziboresha hospitali za zamani na kuonekana ni za kisasa, mf. Maweni kigoma. 3. Barabara. Amejenga ba rabara nyingi nyingi mf. Mmtwara-lindi, na leo anaiunganisha kigoma kupitia mmto malagarasi ambapo kutajengwa daraja kubwa na barabara kwa kila upande kilometa 60 leo yupo anahangaika huku na huku na kule kuhakikisha analimaliza tatizo la umeme ambapo si muda mrefu litakuwa historia, jamani mbona mnajifanya mmetia pamba masikioni na kuvaa miwani ya mbao? Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!!!
hivi vijana mbona hamtaki kuelewa hata mkipelekwa darasani, kwa mtu anayefikiria hivi bila shaka anafaida kubwa na utawala wa kikwete, kama babaye si kiongozi mkubwa ndani ya serikali hii bas mamaye atakuwa fisadi mkubwa. Leo hii mtu anayesifia utawala wa kikwete ni lazima anakuwa na maslahi yake binafsi. Nyerere katufundisha sana kuwa tunaposema maendeleo hatuimanishi majengo ama madarasa tunaimanisha mwalimu na mwanafunzi,vitabu, madaftari, nakwa shule za sayansi tunasema vifaa vya maabara.hizi ni nyenzo muhimu ktk maendeleo ya taifa lolote. Kipindi cha ukoloni, mababu zetu walikaa chini ya miti na kusoma vizuri kuliko sisi ili mradi walikuwa na walimu wa zuri.
Kumbuka kuwa mtaji mkubwa wa maendeleo ni raslimali watu. Taifa linalojua kuendelea huboresha raslimali hii,lakini taifa la viongozi wasijua dhana ya raslimali watu basi hupuuza kuendeleza watu na huona kuendwatu ni mzigo. Je kwa tanzania elimu ni kipaumbele cha ngapi ktk mpango wa maendeleo wa miaka 5 ya serikali yertu?
 
Back
Top Bottom