Kikwete ndiye alisaini mkataba wa madini wa bulyanhulu?

Huyu Tundu Lissu ilikuwakuwaje mpaka akatimuliwa kule Marekani? Au alikuwa busy kutafuta hiyo mikataba9
 
Huyu Tundu Lissu ilikuwakuwaje mpaka akatimuliwa kule Marekani? Au alikuwa busy kutafuta hiyo mikataba9
Hapana. Tundu Lissu hakutimuliwa Marekani. Alikaa huku karibu ya mwaka mzima kwa sababu serikali ya Mkapa ilikuwa inamtafuta kumweka ndani. Hakutumiliwa. Alirudi nyumbani kimya kimya baada ya hali kutulia.
 
mbona katulia tundu lissu?nakushauri umfate mwenzako zizu kabwe ule raha ya nchii wewe shauri lako
 
Hapana. Tundu Lissu hakutimuliwa Marekani. Alikaa huku karibu ya mwaka mzima kwa sababu serikali ya Mkapa ilikuwa inamtafuta kumweka ndani. Hakutumiliwa. Alirudi nyumbani kimya kimya baada ya hali kutulia.

Wewe kweli ni Jasusi
 
Kulikuwa na sababu kubwa kabisa kwa TBC kukatisha matangazo ya uzinduzi wa kampeni ya chadema. Sababu hiyo ni kumlinda mgombea wa uraisi kwa tiketi ya ccm - Mheshimiwa Kikwete.

Kwa waliomsikiliza Tundu Lissu, Kikwete alisaini mkataba wa kifisadi wa madini wa bulyanhulu (sijui kama alipata 10 au 20 percent). Na kwa mujibu wa Tundu Lissu, Kikwete anahusika na yote yale yaliyotokea baada ya hilo kampuni la kigaidi la nje kuanza uchimbaji - kufukia wachimbaji wadogo wadogo kule bulyanhulu.

Nilipenda ile part ambayo Tundu Lissu alionesha mkataba ukiwa na sahihi ya Kikwete.

Swali kwa wasemaji wa Kikwete (nakuangalia wewe mheshimiwa Kinana), mtaendelea kukatisha vipindi wa TBC hadi lini?

Huyo ndiye mwizi no.1 IPTL inamhusu yeye pia,
 
Afrika tunaleana mno.Kule kwetu Jk ungekuta saivi ni mnyampara.Anasalimikaje kusombwa na mchanga uliomsomba muhogo
 
Back
Top Bottom