Kikwete ndiye alisaini mkataba wa madini wa bulyanhulu?

Kikwete anaweza kusema alikuwa anatania tu kuweka sahihi!

ha ha ha ha mkuu wangu wozoza hapa umemaliza kila kitu. Jamaa atavunga tu kama alivyofanya kwenye issue ya buzwagi.

E bana, kama ulimsikia Tundu Lissu, kesi yake inasikitisha sana. Yaani jamaa wanafukia watu wakiwa hai, kisha mwanasheria anajaribu kufuatilia, jamaa kwa ukatili wanamuweka mwanasheria ndani kwa kudhani kuwa wataimaliza issue kinyemela kama ilivyo kawaida yao.

Ama kweli Kikwete huyu, mungu atamlipa tu.
 
sikupata hiyo memo mkuu, nani huyo aliyetuambia?
malechela akiwa iringa... msekwa kwenye mahojiano na media!!

au ulitaka memo gani??? kwani ulishapokea memo inayosema kwamba slaa ni chadema na jk ni ccm??
 
ha ha ha Acid bana sasa unaua mkuu

Ngoja nifuatilie hiyo thread ya malecela (niliiona somewhere).
 
Mpaka leo hii jamaa anakula 10 per cent yake IPTL?
Mwafrika,
Siyo 10% tu. Nasikia kwa kumtumia Joseph Kahama ni share holder katika kampuni hiyo. Hivi kwa nini hawataki ile mikataba ijulikane kwa umma?
 
Say what?

Ina maana jamaa anakula dividends za hiyo kampuni?
 
Kikwete yumo kwenye orodha ya mafisadi,tunasubiri apelekwe jela siyo ikulu
 
Na bado kuna kama 20% ya buzwagi. Kikwete akistaafu atakuwa anakaribia (au kupita) utajiri wa Mobutu

Kikwete waliichukua Buzwagi toka enzi za Bangu silo (Msabaha), Manake wote walijimilikisha 35% share ya kampuni ya TRE iliyonunuliwa na Barrick na kuzaa Buzwagi na mkataba wake ukasainiwa Hotel. Ni Jamabazi namba moja sh...xxxxxx
 
CHADEMA walikuwa wapi kuleta mkataba huo hadi wakangoja kampeni zianze ndo wanaibuka eti mgombea urais kwa tiketi ya ccm RAIS kuwa alisaini mkataba wa bulyankulu?loh kwanini hawakusema kabla au huo mkataba umesainiwa wiki iliyopita?kwa mawazo yangu kama wameweza kukaa na uvundo huo na kuuvimilia ukawanukia wakati ni ishu ya kitaifa nadhani na wao wakiingia ilkulu wataendeleza hilo hilo hakuna jipya watakalolifanya kwani wameonyesha uwezo wao wa kuvumilia uovu kama huo.nawasilisha waenu wana jamii forum.
 
Ebwanaeee hii nilikuwa sijaipata. Bangu ndio kampuni iliyoitangulia barrick?
 
CHADEMA walikuwa wapi kuleta mkataba huo hadi wakangoja kampeni zianze ndo wanaibuka eti mgombea urais kwa tiketi ya ccm RAIS kuwa alisaini mkataba wa bulyankulu?loh kwanini hawakusema kabla au huo mkataba umesainiwa wiki iliyopita?kwa mawazo yangu kama wameweza kukaa na uvundo huo na kuuvimilia ukawanukia wakati ni ishu ya kitaifa nadhani na wao wakiingia ilkulu wataendeleza hilo hilo hakuna jipya watakalolifanya kwani wameonyesha uwezo wao wa kuvumilia uovu kama huo.nawasilisha waenu wana jamii forum.

ha ha ha wewe Joyce Paul una akili sana Ha h aha haha
 
Inabidi siku akienda bulyanhulu kukampeni (kama hajaenda bado), watu wamkumbushe madhira yote aliyowaletea watu wa huko
 
Hivi kwa data zote hizi kuna mtu anaweza kusimama for CCM? Labda kama ni kipofu au analipwa na hawa mafisadi!

Hata mimi sitamwelewa kabisa mtanzania atakayempigia kura Kikwete ili aendeleze wizi wa maliasili za nchi yetu kwa manufaa yake na wanamtandao (mafisadi) wake. GOD forbid!
 
Yaani kama ni kutumaliza, jamaa katumaliza kwelikweli, Mie nipo mgodi wa tulawaka, jamani haipiti wiki helkopita inakuja kuchukua mzigo, halafu hata ile asilimia tatu tunayoptakiwa kupewa, wanaitoa kwa kujisikia, eti hadi wanapopata faida ndo wanaitoa. Hivi hii serikali si ni ya wendawazimu jamani. Mnaokodisha mapango huko mjini, mpangaji huwa anakulipa pale anapopata faida? Hebu tujiulize.

Jamani tuzijaribuni kila roho. Kikwete hafai kabisa.
 
Inasikitisha unapotembelea nchi zilizoendelea kama ulaya wanakuuliza kwa nini NCHI YAKO NI MASKINI ingawa kuna rasilimali nying? Lakini naamini mwisho wa uozo wote huu upo na mwisho wake ukifika nadhani wale wote walio husika watalia maana jeshi la wananchi raia wa tanzania ni takriban milioni arobaini, sasa hao mafisadi hawawezi kulishinda!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kikwete aliwahi kuulizwa kuwa kwa nini Tanzania ni maskini akakosa cha kusema.
 
Hivi nini kinazuia watu kama kina Kikwete kupelekwa keko immediately baada ya uchaguzi kuisha?
 
Back
Top Bottom