Elections 2010 Kikwete ndani ya tandahimba

eheee, lete habari, au simu haina chaji tukutumie mpwa??
 
Picha tafadhali, tunataka tulinganishe mkuu.

siwezi kuleta picha kaka.Sasa hivi ndio anahutubia,ameanza kuzungumzia sekta ya elimu.Ameahidi kujenga mahabara ktk shule zote za kata wilayani
 
Amezungumzia suala la kuwa rais wa kwanza africa kukutana na obama
 
siwezi kuleta picha kaka.Sasa hivi ndio anahutubia,ameanza kuzungumzia sekta ya elimu.Ameahidi kujenga mahabara ktk shule zote za kata wilayani

Mimi sasa nasubiri siku ya mwisho pale jangwani, nafikiri ataahidi kujenga choo kwa kila mwananchi!!!
 
Amezungumzia suala la kuwa rais wa kwanza africa kukutana na obama

Hivi hili la kuwa rais wa kwanza afrika kukutana na Obama nalo ni la kujivunia kiasi cha kuwa hoja ya kuombea kura? Ama kweli Kikwete ana mambo!!
 
Mimi sasa nasubiri siku ya mwisho pale jangwani, nafikiri ataahidi kujenga choo kwa kila mwananchi!!!

Atatuahidi bajaj na petrol lita 20 kwa kila mtanzania, hivi jamani huwa haulizwi maswali? nilitaka kujua swala la mafisadi atalisolve vipi
 
Anaelezea jinsi anavyopambana na malaria,hasa zoezi la ugawaji wa vyandarua.Ila watu wanaanza kuondoka.Anasema tena ukimwi ni ugonjwa wa kujitakia.
 
Hebu angalia muonekano wa hao watu ni watandahimba au wa mjini?....angalia ung'aavu wao vizuri utujulishe...maana sasa anahama na watu toka mkutano mpaka mkutano mwingine....kuna sura niliziona kwenye TV Bagamoyo,Chalinze na Kibaha...zilezile halafu wanatamba kafunika
 
Atatuahidi bajaj na petrol lita 20 kwa kila mtanzania, hivi jamani huwa haulizwi maswali? nilitaka kujua swala la mafisadi atalisolve vipi

Uzuri wa kapeni zetu hakuna maswali ndiyo sababu jamaa anahidi kama vile hana..................!!
 
Huyu mzee wetu, aseme nini atafanya kwa kizazi kijacho kimkumbuke daima. We don't need to know about your meeting with Obama in USA. JK sema utafanya nini kutuondolea umaskini, tupe mbinu sahihi za kuondoa taifa lilipo na tujitegemee siyo kila siku bakuri kwa wazungu mwishowe jamaa watajaa tena nchini kwetu nasi tutakuwa kama wageni.
 
Anaelezea jinsi anavyopambana na malaria,hasa zoezi la ugawaji wa vyandarua.Ila watu wanaanza kuondoka.Anasema tena ukimwi ni ugonjwa wa kujitakia.
Vyandarua vya Bush.....! Then, bora watu wakajitafutie mikate yao ya kila siku, nami ningekuwepo ningefika, then naondoka katikati ili kumuonesha kuwa hana la kusikilizwa....1
 
Usisahau TBC juzi walimuwekea Sheni mkutano wa ufunguzi wa CCM Jangwani halafu Kikwete kule Lindi akawekewa wale wa Songea wajinga kweli hata ethics za journalism wamezitupa kabisa watu tumekariri matukio tukiona picha tunajua hii ilikuwa ya wapi na hapo tunathibitisha jinsi wanavyohamahama na watu Raisi anatapeli hata mikutano ajabu ya mwaka
 
Anaelezea jinsi anavyopambana na malaria,hasa zoezi la ugawaji wa vyandarua.Ila watu wanaanza kuondoka.Anasema tena ukimwi ni ugonjwa wa kujitakia.
 
Back
Top Bottom