Elections 2010 Kikwete ndani ya mtwara (update).....

jamaa anazidi kutuweka....kampeleka airport rais wa botswana na sasa ndio saa 11.30 rais kikwete anaingia
 
Zimebaki dakika chache sana muda wa NEC uishe. Sina uhakika kama JK atamaliza kabla ya muda. Siziga tafadhali weka kumbukumbu za Mheshimiwa kusigina taratibu za Uchaguzi
 
Nipo hapa uwanjani (umoja), namba t437 apa, t945anz, t751anz(machinga trans)...na baadhi ya maroli yanasomba watu vibaya mno.....na sasa hivi hapo nje kuna mapikipiki na mabajaji mengi mno yanajaza mafuta kwenye hii sheli(kwa chingwile) yanaenda kumchukua jk(still watu uwanapigwa na jua tu jamaa bado hajaja-na sasa ni saa 7.15 mchana)...nishapiga picha ninazo...nitazi-update very soon. Stay tuned!!
Hamtaweka picha hata moja maana utaogopa kuwaangusha wapenzi wa CHADEMA.

SI UNAJUA PATAKUWA HAPATOSHI MTWARA KWA KUMSIKILIZA JK.
 
Back
Top Bottom