Elections 2010 Kikwete Nchi imeshamshinda, ni Maajabu gani mnataka Mungu awaonyeshe kuwa Nchi Imeshamshinda?

AirTanzania

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
1,139
1,033
Ukweli siku zote unabakia ukweli, Kikwete nchi imeshamshinda ila anaona aibu kuachia ngazi kuwa ataonekana Kilaza wakati ni kilaza na anazidi kuiharibu nchi yetu. Nchi imekubwa na Matukio juu ya Matukio, Mawaziri pia ni Vilaza, Hasa Waziri wa Fedha na Sheria ni Vilaza kuliko Bosi wao.

KIKWETE NCHI IMEKUSHINDA USIONE AIBU KUNG'ATUKA TOOOOOKA HATUKUTAKI YOUR A LOOOSER
 
Ujumbe huu kauona!!!

1.jpg
 
Umenikuna Mkuu!
 
Ukweli siku zote unabakia ukweli, Kikwete nchi imeshamshinda ila anaona aibu kuachia ngazi kuwa ataonekana Kilaza wakati ni kilaza na anazidi kuiharibu nchi yetu. Nchi imekubwa na Matukio juu ya Matukio, Mawaziri pia ni Vilaza, Hasa Waziri wa Fedha na Sheria ni Vilaza kuliko Bosi wao.<br />
<br />
<font face="Comic Sans MS"><font size="4"><font color="red"><b>KIKWETE NCHI IMEKUSHINDA USIONE AIBU KUNG'ATUKA TOOOOOKA HATUKUTAKI YOUR A LOOOSER</b></font></font></font>
<br />
<br />
 
unaposema kikwete nchi imemshinda,unakuwa umeangalia vigezo gan?,siasa,uchumi au kijamii,licha ya kuangalia ktk vigezo hvyo vitatu inatakiwa uchambue kimoja baada ya kingne tena ukiwa na data zilizo kamilika,sasa ukiibuka tu kama umetoka kulala vile watu wenye akili zetu nzima tunakushangaa tu tena tunakuona jinsi gan unapelekwa na ushabiki ktk maon yako,come down,rethnk the talk,halafu kwa nn mnakuwa mnatumia majina ya ajabu ajabu,et airtel,kama unajiamini display jina lako watu waone na kujua ww ni nan,achen nidhamu ya woga
 
Nakubaliana na wanao sema jamaa nchi imemshinda, ukiangalia vigezo vyovyote vile utaona sasa nchi haieleweki inaelekea wapi. Mfano; Kiuchumi tunakuwa kama Zimbabwe au Somalia, Kisiasa tunakuwa kama Uganda, Zimbabwe ama SA ya makaburu enzi zile za kuuana! Kielimu angalia matokeo ya F4 yatakupa jibu rahisi. Tuna waabudu wawekezaji wanao vuna rasilimali za Taifa bila kulipa kodi na kuua wazawa bira sababu za msingi. Ufisadi upo wazi wazi kama wa Haiti! Kijamii tunakuwa kama Nigeria, wakristu na waislam hawaelewani, hasa waislmau wana wanabagua wakristo mpaka kuwachomea nyumba zao za ibada-Mto wa Mbu na Zanzibar.

Kwa vigezo vyote Jeikei nchi imemshinda kabsaaaa ampe yule dogo mwenye bango tujue tupo tupo tu.
 
Back
Top Bottom