Elections 2010 Kikwete naye je ataweza kuwa raisi wa tanzania 2011?

Mtaka Haki

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
492
149
1. RAISI Kikwete HAWEZI KUONGEA ZAIDI YA DAKIKA. 10 kwa kipindi hiki. Akichaguliwa ni nani ajuaye kuwa itafikia mahali ziwe dk. 5 tu.
2. Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni kupuuza watanzania kwa kutokujali.
3. Kule kuzidishiwa nguvu ya majini bado hajakanusha na tunasikia ameendelea kuanguka ila haitangazwi.
4. Kama kweli tunampenda rais Kikwete tumtakie maisha marefu aounguziwe majukumu mazito kama ya uraisi. Nawaomba tujali afya ya rais
MATAMSHI YAKE YANAONYESHE KUFICHA JAMBO KWA WANAOJUA SAIKOLOJIA.
5. Wako wanaosema kuwa rais ananyanyapaa watu wa ukimwi kwa kusema ni kiherehere chao.
6. Na hata watoto kupata mimba wakiwa mashuleni ni kiherehere chao.
7. Watu wanaweza kufikiri kwa kuwashambulia wanaoogua ukimwi, hasa kwa mtu mwenye heshima ya uraisi ni kujaribu kufikisha ujumbe fulani au kuficha jambo fulani.
TAFADHALI KUONYESHA UPENDO WETU KWA RAISI WETU TUMPUMZISHE.
 
Back
Top Bottom