Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

Siiogopi vitisho! Afterall unatumia ID ya kujificha,uko gizani nipo kwenye light (natumia my real ID).......Hata mimi nina uwezo wa kusema,ila hapa sio sehemu sahihi.I can spit!

Pia nikukumbushe,sijawahi kuwa nje ya nchi nikiwa nakula raha,nimekuwa nje ya Nchi nikiwa nasoma au kwenye harakati........kuhusu wengine siwezi kuwasemea!

I find myself questioning why someone would choose to use this forum for this kind of slanderous, malicious, heartless and spiteful conversation. With the dawn of the internet we have now have the ability to say and post what and when we want to. The problem is, once the send button has been hit, the words cannot be taken back. I find it sinful that this conversation is taking place and sad that the second person involved with you Zitto/Kitila is not able to reply to what you have accused him of doing (not just with you but with the "alleged" ant-party conspiracy).

I am by no means an expert on the topic but it appears to me that you have digressed to a mud slinging contest which includes threatening (or so it seems!).
Miss Parliament, if your story has/had any credibility to it, you have destroyed that by the ongoing nonsense you continue on with. If?
huh.gif
?? you have been wronged there are channels that can be followed prior to resorting to this kind of , (I don't even know what to call it!).

Miss Parliament: You need to stop this discussion before it lands you in LEGAL hot water (threats don't go over well with ....). You are apparently known from past situations so you need to back this off. Secondly, you really need to have a hard look within yourself and figure out exactly where you are in your Political journey because what I am reading would never and should never come out of the mouth of a practicing Democratic Politician

Wana Jamii Forums,with a due respect naomba watu wa aina hii muwapuuze tu kwa utengamano,maslahi ya taifa letu na future ya vijana wazalendo wa taifa letu.

CHADEMA ni moja,tumaini jipya kwa watanzania.Rais ajaye naamini kabisa ni lazima atatoka ndani ya chama chetu sasa tuuungane pamoja kujenga chama,tuunganishe chama tusiogope kukosoana kwani sisi ni tofauti na CCM.Tukuze demokrasia ili tukiingia madarakani watanzania watanzania wapate kitu ambacho hawajahi kukipata miaka hamsini iliyopita tangu tupate uhuru

Kauli mbiu ya sherehe za uhuru kwamba Tumeweza,tusonge mbele ni upofu na kubweteka kwa gharama ya baadae ya watanzania badala yake tulistahili angalao kuwa na hii Tumejaribu kiasi,tujisahihishe,tusonge mbele kwa ujasiri mkuu.Naamini CHADEMA hapa tunahitaji kuonyesha uwezo na dhamira yetu ya dhati kukitumikia kizazi hiki na cha baadae kwa kukiongoza katika ngwe ya pili baada ya miaka 50 katika ukombozi wa pili wa taifa letu.Tuungane pamoja 2015 hakuna wa kutuzuia! ! !

kwani Ben,
mlipoenguliwa wewe, Nyakarungu na mwampamba, mlijibu lolote kwa kale kazee kenu, au mlipigwa mkwara mtaporwa kadi kama kawaida ya mbowe? sijawaona kabisa, namjua nyakarungu mbishi lakini aliuchuna, nakuona wewe ni mwelewa wa utaratibu sana, je mbona mlishindwa kuchukua hatua kwa hako kazee kenu kalivyokuwa kanatudanganya mle ndani? lile jamaa heche a.k.a pumba nililiunga mkono kwa sababu ya kuambiwa tu wanataka limshinde mchange, tena lema ndiye alifanya kazi hii usiku wa wakati wote wa kampeni.
Nachouliza madai yale yalikuwa ya ukweli? maana hamkujibu kabisa, au mliamua kumuiga mzee slaa alivyotulia baada ya kushindwa uchaguzi mkuu akatulia na kulalamika chinichini, au kuna njia nyingine mnaitumia kudai haki yenu ya kubaki safi.
kiuwezo heche hakuwa na sifa kwani inaonyesha hadi sasa, kiongozi anaitisha mkutano na kutoa kauli za maandamano tu, eti spika ataondolewa kwa maandamano,...!!! chaedema taabu tu, mbowe alifanya hivyo ili apate mtu wa kumpigia kura tu.
kama mko kimipango ya kiuelev, endeleeni tu kaka, mim niliwafurahia mlivyotulia hata sasa wanahangaika kujua mnafanya nini, ila hawalali wanawatafuta, angalieni wasiwaue tu.
 
Hii muvi kali sana,namwona stering kwa mbali amepozi......mkuu Zitto tunakuona upo humu,unaweza kufafanua uliyachukuliaje maneno ya rais kule kigoma kuhusu vijana kuhodhi the Executive branch of Sirikali?Kamani kweli wewe unasemaje?
 
jAMANI KAMA ZITTO AKIWA RAISI SIJUI KAMA TUTAPATA MISAADA MYA KUENDESHA NCHI! Rejea mahojiano yake na daily news video. Katika video hiyo kabwe alichapia kiingrreza mapaka anatoa macho ya kabali shingoni ili kuafuta neno la kusema! Halafu eeeeeeenh! eeeeeenh! zilikuwa nyingi sana sana yaani mpaka unaona kero ya kumsikiliza. Naomba daily news warudishe ile video ya mahojiano kwa kiingerreza na kabwe ili wana JF waitolee maoni.
 
Hii muvi kali sana,namwona stering kwa mbali amepozi......mkuu Zitto tunakuona upo humu,unaweza kufafanua uliyachukuliaje maneno ya rais kule kigoma kuhusu vijana kuhodhi the Executive branch of Sirikali?Kamani kweli wewe unasemaje?

Kobello,

Ukishatumia neno kuhodhi naona ni adulteration ya the whole spirit...........! Hata hivyo zitto kama atatoa comments anaweza akaleta mgawanyiko au akaleta matumaini kwa wafuasi wa chama,naamini ni kijana makini ikiwezekana tumuache achukue muda wake tu.Lengo letu ni kukiandaa chama kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2015,si mtu.Asante
 
Kobello,

Ukishatumia neno kuhodhi naona ni adulteration ya the whole spirit...........! Hata hivyo zitto kama atatoa comments anaweza akaleta mgawanyiko au akaleta matumaini kwa wafuasi wa chama,naamini ni kijana makini ikiwezekana tumuache achukue muda wake tu.Lengo letu ni kukiandaa chama kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2015,si mtu.Asante
Thanx 4 ur observation,mimi ni mwanachama wa CCM na tumeona kwenye primaries za CCM jinsi wazee walivyobwagwa kidizaini,CCM hii inaifanyia kazi.Kuhusu kukiandaa chama kwa ajili ya 2014/15 elections,good luck! ila tu kushika madaraka ndio lengo la kila mwanasiasa.......sijui kwanini watu wanashangaa hili.
 
Tunachotaka ni kiongozi aliye comited kuipeleka nchi tunakotarajia.
Sio wakati wa kuanza kutoa macho na kumfikiria mgombea urais wa mwaka 2015.
Nchi haitaenda kwa style hii ya kutengenezeana mitego ya buibui kwenye tundu la kighala cha ndege.
Habari hii ya kutaja taja mitandao, ni dalili ya watu wenye hofu dhidi ya watu wenye uwezo na maono ya mbele.
AU yaweza kuwa ni janja ya wasioitakia mema cdm/AU wanafiki wasiojiamini kwa utendaji wao, hivyo wanachadema wanajikuta wanaingizwa mtegoni na wao wanaanza kuwachafua wanachama wenzao, bila kujua wanajimaliza wenyewe.
Mimi sijajiunga na siasa kwa sababu ya mtu fulani na wala sikuitwa na wala sikuhama chama chochote kuja cdm.
Mimi sina mtu yeyote ninayemuunga mkono, bali nina hoja za watu ninazoziunga mkono.
Na zipo hoja za watu ninazozipinga wazi bila uficho.
Harakati ni wito na usithubutu kufanya majaribio kabisa, uongozi sio bahati ni wito uliochanganyika na utayari wa kujitoa kwa ajili ya watu.
Kama jina la chama linavyojulikana, ni lazima lisadifu uhalisia wake.
Sipo kishabiki kabisa na wala siwezi kuishi kwa nguvu za upepo wa siasa.
Nasimama kwenye mlengwa wangu wa kati kama itikadi ya cdm inavyosema.
Misimamo yangu naipima na kuiweka kwenye mzani wa dira na melekeo wa taifa jipya lenye kivuno sadilifu.
Hata uwezo wangu wa ubunifu na utendaji unajulikana ndani na nje ya chama, hata serengeti nyumbani kwetu, bila kutegemea nguvu au upepo wa chama, nimeweza kuwatetea vijana 5 walionyanganywa ardhi yao kwa kuwapelekea mwanasheria, nimefungua NGO ya haki za binadamu, hivyo harakati sijajifunza kwa kuiga upepo wa siasa uendavyo wakuu.
NIMEELEZA YOTE HAYA KWA KUWA NAONA KUNA HISIA ZINAIBUKA KUWA SISI TULIOENGULIWA KWENYE UCHAGUZI WA BAVICHA, ETI NI WANAMTANDAO WA MTU FULANI.
NI KWELI MIMI NINA MTANDAO, MTANDAO WA UWAZI KWA WATANZANIA, MTANDAO WA UKWELI KWA WANANCHI, NI MTANDAO WA MABADILIKO YA KIFIKRA, NI MTANDAO KATIBA, SIO MTANDAO...MBOWE/SLAA WALA ZITTO, KANA WANAVYOTAJWA VIONGOZI HAWA, IKIWA UNA UWEZO NA NGUVU YA FIKRA HUNA HAJA YA KUJIPENDEKEZA POPOTE.
UWEZO WAKO UTAKUUZA TU.
Hongereni wote mnaoishi kwa hoja na kujifunza kwa kutafuta maarifa.

2015...RAIS HATUMJUI WALA SIJAMFIKIRIA MGOMBEA AWE NANI, KWA SASA TUANGALIE MAMBO YANAYOISUMBUA NCHI YETU.
 
Mkuu Selous a.k.a kekule(Benzene) ha ha ha,
Tumeandaliwa kuogopa ....na sisi tunakubali kutokuthubutu!

Kumbe mkuu ulisoma PCB? hata sisi wengine tulipita hapo kwa kulazimika tu lakini huko juu ilibidi turudi kwenye kile tulichokitaka kwa kubeba Risk.

Ila tukirudi kwenye mjadala,ni hatari sana watu kuingia kwenye fani kwa majaribio.Siasa si kitu cha majaribio.Hata hivyo naamini kabisa tukiwa wengi tutaweza kubadili mtazamo na kulipigania taiafa letu kwa moyo wote hadi tone la Mwisho ilimradi watanzania wapate kile wanachostahili.Huwa naona wivu na kusikitika sana nikiangalaia jinsi wenzetu wanavyosonga mbele,sisi tunajiandaa kujenga taifa la waoga.We have all what it takes to make Tanzania a great nation in Africa kuanzia ngwe hii ya pili baada ya miaka 50 ya uhuru.Second liberation struggle needs visionary,courageous and vibrant people to spearhead this grand mission

Ni kweli ila Sidhani kama kuna mwanasiasa atakayeshabikia kauli kama hii blindly,ni lazima mtu utafakari.Mkuu chadema hakuna mwanasiasa wa hovyo kiasi hiki.

Unakosea unaposema CHADEMA hakuna mwanasiasa wa hovyo kiasi hicho......wakati ukweli upo wazi kuwa mwanasiasa wa hovyo kiasi hicho yupo naye ni Zitto, kwani alishajidhihirisha na angali anaendelea kujithibitisha hivyo....
 
Kwa uongozi wake "uliotukuka'', safari nje ya nchi zisizoisha, kagoda/meremeta/rada/deep green kubaki kuwa kitendawili kisicho teguka hakika hastahili si kutuchagulia mrithi wake bali hata kutupendekezea.
 
By the way kama nilivyosema tangu mwanzo kiongozi ni reflection ya society anyoiongoza ........! Tukishalielewa hilo nadhani itakuwa mwanzo wa kuwa na healthy debate,ingawa si la muhimu sana kwa sasa zaidi ya kuongelea credible election ndipo credible person afuate
 
Niliwai kusema hapa na nitaendelea kusema ndoto za Zito Kabwe ni kuwa Rais kijana kama alivyowai kupata kuwa Mwl J.K Nyererea alikabidhiwa akiwa na miaka 39. Nasema haya yote kwa nia njema na napenda nimshauri Kaka yangu Zito Kabwe nafasi ya yeye kuwa Rais anayo lkn bado anaitaji muda zaidi wa kufanya free politics ili aweze kufahamu kiini cha matatizo ya dhiki ya Watz. Urais si jambo la kukimbilia linaitaj Uadilifu, Ustaarabu, Ustahimilivu. Zit nasema muda wako bado jenga kwanza chama nasi tutakupa nchi
 
lo lo loh,tumeliwa nnaona hapo mk we re anamaanisha january makamba,zitto na kafulila wasindikizaji mweee!
hivi ukiisha uchaguzi wa 2015 mwingine unafuata lini vile?
 
jAMANI KAMA ZITTO AKIWA RAISI SIJUI KAMA TUTAPATA MISAADA MYA KUENDESHA NCHI! Rejea mahojiano yake na daily news video. Katika video hiyo kabwe alichapia kiingrreza mapaka anatoa macho ya kabali shingoni ili kuafuta neno la kusema! Halafu eeeeeeenh! eeeeeenh! zilikuwa nyingi sana sana yaani mpaka unaona kero ya kumsikiliza. Naomba daily news warudishe ile video ya mahojiano kwa kiingerreza na kabwe ili wana JF waitolee maoni.
... duuh! Inawezekana ni kweli, lakini Zitto ninayemfahamu toka akiwa spika wa daruso, anaweza kuongea kingereza fluently. Labda cku hiyo hakula mayai au we mwenzetu viwango vyako viko juu! lol!
 
Ukishaona watu wnaojua kutumia kompyuta karne hii bado wanaongelea koo 7,basi ujue kuna tataizo kubwa!
 
Tango73 said:
jAMANI KAMA ZITTO AKIWA RAISI SIJUI KAMA TUTAPATA MISAADA MYA KUENDESHA NCHI! Rejea mahojiano yake na daily news video. Katika video hiyo kabwe alichapia kiingrreza mapaka anatoa macho ya kabali shingoni ili kuafuta neno la kusema! Halafu eeeeeeenh! eeeeeenh! zilikuwa nyingi sana sana yaani mpaka unaona kero ya kumsikiliza. Naomba daily news warudishe ile video ya mahojiano kwa kiingerreza na kabwe ili wana JF waitolee maoni.

haaaa so akichapia kingereza ndo inaconclude nini. Kingereza sio mother tongue. Si ajabu kuchapia. Kama wewe katika priority za kupima uwezo wa viongozi ni lugha tena mbaya zaidi ya kikoloni basi .

Ujerumani ni nchi inayoisaidia sana Tanzania Lugha yao sio kingereza..
Scandanavia ( Norway. Sweeden, Denmark)wanaosaidia sana Tanzania nao wanachapia kingereza kama au zaidi ya watanzania.

Upo hapo.
 
Ukishaona watu wnaojua kutumia kompyuta karne hii bado wanaongelea koo 7,basi ujue kuna tataizo kubwa!

achakuchomeka maneno yako ya kejeli yasiyokuwa na mbele wala nyuma, unaona kutumia kompyuta ni dili? zingatia hoja inasemaje na endelea kutoa maoni yako na sikejeli zako zisizo jenga zaidi ya kubomoa
 
Arafat hii inaitwa twanga kote kote!unajua Impact ya kauli hii upande wa upinzani na upande wa ccm? Unajua kwanini kauli hii imepewa "uzito" na Zitto? Hizi ndio siasa za kiafrika ambazo hata vijana wa kileo wanarudia makosa yale yale! Tuendelee kukubaliana tusiyokubaliana!

Hapo ndipo panapo hitaji akili maana Kikwete siyo Chadema ni CCM kwahiyo kila kauli yake lazima ujuwe anaongelea CCM siyo chama kingine.
 
Ila msimu-under rate Kikwete maana kama watu hawata jipanga vizuri lazima mtu wake atachukwa tu 2015 maana alivyomwacha kwenye mataa rafikie ambao hawajakutana barabarani! na jinsi alivyo mchafuwa SAS 1995 na janja yake na Ben bado sijaona kama CDM imejipanga vyema kukabiliana na Kikwete ukichukulia kuwa ndani ya CDM bado mamluki ni wakumwaga!

2015 kuna kivumbi na jasho.


Maana inaonekana vijana wa CDM na NCCRwakiadanganywa kuwa wamuunge mkono mgombewa wa CCM alafu atawaachia 2025 lazima watakubali, na hicho ndio alikosea EL jamaa alimdanganya kuwa 2015 anamwachia baada ya hapo kamtafutia kituo na kumwaga chini.
 
Tunaangalia kichwani, na hatutaki iwe hivyo,naona anataka Zitto awe rais iwe aweze kumsaidia kuficha upupu wake ambao atauwacha, DR W SLAA ataingia hapo mjengoni tu....
 
Back
Top Bottom