Analeta propaganda ili HUSSEIN MWINYI awe RAIS hapa amekosea watanzania wa leo si wa miaka ya 60,hizo kauli akawambiye MAGAMBA wenzake,ZITTO hawezi kuwa RAIS kwasababu ni mnafiki mpaka juzi kwenye mikutano na mandamano ya CHADEMA ndiyo kaanza kujisafisha kwa kusema MBOWE ndiyo kamfundisha siasa na kumsaidia kuwa MBUNGE.