Kikwete Na Steven Seagal

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,513
11,276
Rais Jakaya Kikwete alikuwa miongoni mwa watu waliobahatika kupata picha ya kumbukumbu na Mcheza Filamu wa Marekani Steven Seagal wakati watafrija iliyoandaliwa na Madaktari wa Kimarekani kwaajili ya Afrika mjini Los Angels. Seagal pia ni mwandishi wa miziki na Mtengenezaji wa filamu.
 
hivi aliyepata bahati ya kupiga picha na mwenzie ni Rais Kikwete au Steven Seagal??!! next move itapendeza kama ikitokea "Rais Obama alikuwa miongoni mwa walibahatika kupiga picha na Kanumba (mcheza filamu wa kitanzania)!"
ah haaa haaaa.............
 
Jamani hata kama humpendi JK, He is our President bwana. Steven Seagal amepata bahati ya kupiga picha na Danganyika President.
 
inanipa wakati mgumu
 
Kaaazi kwelikweli
 
Muhimu nani ananufaika zaidi na picha hiyo kati ya JK na Seagal,anayenufaika ndiye aliyepata bahati. 2010 hiyo picha inaweza kutumika CCM katika kampeni za uchaguzi kwa vijana kuwa Muungwana ni maarufu sana hata kwa wacheza filamu maarufu Duniani. Subirini muone
 
Jamani hata kama humpendi JK, He is our President bwana. Steven Seagal amepata bahati ya kupiga picha na Danganyika President.

nakomelea hapo hapo. kikwete kapata opportunity ya kupiga picha na huyo jamaa. anajigonga sana kwa wakubwa. seagal angekuja bongo ndio tungesema kapata bahati ya kupiga picha na kikwete
 
Inaonesha jinsi muungwana anavyopanga priority zake; starehe kwanza , kuyahudumia matatizo ya wadanganyika baadae!! Wadanganyika kazi tunayo.
 
Hivi nani alitaka kupiga picha na mwenzake? JK au Seagal? Kama JK basi anatafuta ujiko kwa kampeni zijazo. Kweli tuna kazi, maana sijui kwa nini alipiga hiyo picha na jamaa.
 
Mwenzangu na mie nikipiga picha na Stephen Seagal nakuwa nimebahatika...lakini Raisi wangu nae kabahatika??
Mbombo Ngafu!!
 
Hivi nani alitaka kupiga picha na mwenzake? JK au Seagal? Kama JK basi anatafuta ujiko kwa kampeni zijazo. Kweli tuna kazi, maana sijui kwa nini alipiga hiyo picha na jamaa.

Hapa mpenda masifa ni Seagal, maana huyu jamaa hata filamu zake ukiziangalia kwa makini utashindwa kugundua kuwa ni mtu wamasifa na majivuno (Mpaka ana-bore). Maana yeye huwa hapigwi, siku zote yeye ni hodari tu wa kuwatwanga wenzake.

Nasikia pia Seagal aliwahi kudai kuwa yeye alishakuwa bodyguard wa Colonel Muammar Abu Minyar al-Gaddaf (Rais wa Libya), miaka fulani fulani hivi! Ikaja kuonekana kuwa si kweli.... Majisifu tu...So kwa hapa inaonekana tu, jamaa Seagal kajileta kwa Prezidenti baada ya kusikia kuwa JK ni Chosen One. Yaani ni Chaguo la Mungu.

Je kuna ambaye hataki kupiga picha na Chaguo la Mungu!?
 
kikwete inabidi sasa akue..yeye ni rais wa nchi...biashara yake ya kwenda kwenda marekani kutembeza bakuli ili awaletee mafisadi na ccm yao...sie hatutaki..anatakiwa akae chini wajipange kufikiria ni jinsi gani ya kukuza pato la ndani sio kwenda kujikomba jikomba karibia kila mwezi ulaya na marekani...mambo ya bakuli yamepitwa na wkt..mbona hatuyaoni hayo kw amajirani zetu?..na wao si wana marais ka sie...sasa wa kwetu kwanini hakai na kujiuliza kwnain hakai nchini kwake na kufikiria jinsi ya kujitaftia vyanzo vya mapato ili internal generated fund iongezeke...na tuachane na mambo ya kila siku kusomewa hotuba za bajeti za kusema ooo tSH KADHAA twazitegemea kwa wahisani...this should be put to an end once and for all kama kweli watu wana nia ya kuendeleza nchi.
 
Natamani Seagal angempiga ile muvu ya kuvunja kiuno hapo!
 
Haya ndio anayoyaweza maana kuongoza nchi kumemshinda. Atufahamishe baada ya miaka 4 na safari kibao ughaibuni, ni mambo gani aliyofanikisha kwa ajili ya waTZ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom