Kikwete (na serikali yake) anaogopa kumshtaki Balali

Si Mnakumbuka Yule Gabacholi Alipopewa Tu Ile Wizara Ya Fedha,eti Pande La Kwanza Alilowapa Gabacholi Wenzake Ni Kuchagua Makampuni Yao 50 Makubwa Halafu Eti Waingize Mizigo Yao Bandarini Bila Kukaguliwa Na Hata Ushuru Watalipa Siku Watakayotaka,ebo!! Yaani Ni Gabacholi Gani Hapo Tanzania Mwenye Hiyo Roho Ya Uaminifu Kiasi Hicho Ina Maana Sisi Ni Wapuuzi Kiasi Hicho Au Niseme Akili Zetu Zina Wadudu?maana Hao Wanaoambiwa Kuwa Ni Waaminifu Ndiyo Hao Hao Kesi Zao Ziko Mahakamni Kwa Makosa Ya Kuingiza Vyakula Vibovu.mhh!!
 
Pengine Naye Jk Anataka Kujiuzulu Maana Mafuriko Ni Makubwa Mno Ya Kumzidi Lakini Sasa Anajiuliza Atamwachia Nani?maana Wote Walishaharibika
 
Back
Top Bottom