Kikwete na Mbowe wakutana tena faragha

cdm mumeshikwa pabaya!kufika 2015 mimacho itawatoka,ccm juu juu juu zaidi,,!chadema mjipange kuchukua nchi hii labda 2050,
 
Hakuna mipaka ktk kukutana wote wanawatumikia watanzania. labda Mh Mbowe alikua anaombwa awakataze wabunge wake wasigomee bajeti?
 
Semeni yote mnayotaka kusema ukweli wa yote anaujua Jk na Mbowe,manake wengine tumewazoea kwa majungu,umbea na unafiki!
 
Jamani kuna nini huko,mbona nimepata hizi tetesi kwa watu wazito au si kweli maana Tz kwa majungu HATARItunaomba wenye data mtupe na sisi habari..
Lkn napata wasi wasi Mwenyekiti wa CCM na Mwenyekiti wa Chadema kukutana siri mara kwa mara,hizi siri mimi ndio naziogopa,chupu chupu niachane na Cuf na siasa kabisa, wakati Maalim seif na Nyerere walipokutana na halafu akakutana na salmin...
TUJUZENI WENYE TAARIFA

maybe anataka kuvua GAMBA avae gwanda utajuaje bwana si unajua tena magamba wanavyohaha
 
..............

Jamani Mrisho!

Kumbe kote kule kwenda kuhani msiba wa Makani, ilikuwa kumbebeleza Mbowe!



Anahangaika tu, sithani kama anaweza kumchezea akili Mbowe!!

Chadema si CUF ni mfumo uliojengwa vizuri ambao mustakabari wowote wa chama hautegemei uamuzi wa mtu mmoja!

Pole yake !!

Cha nazi!
 
Mkuu mbona unapandikiza chuki kwa waumini wa dini hizi wanaoishi kwa amani utulivu na kuvumiliana? Mimi nilisoma na Wagala kibao darasani na tulishirikiana vyema katika masomo.



ulitakiwa kujibu kama mission choma kanisa mmemaliza. Wakosa chogo bana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom