Kikwete na Makamba wakijiuzulu na Slaa na Mbowe wakajiuzulu uongozi; Chama gani kitakufa?

Zhu

Senior Member
Sep 26, 2010
184
24
Licha ya kuwa heading ya kiingereza imefutwa lakini ni vizuri tuone hawa wamiliki wa vyama kama wakijitoa itakuwaje.
 
Mambo ya ...Sungura akasema!
...Nyani akalima shamba!
TEMBO akaenda kupeleka mahari kwa mbweha!
 
Licha ya kuwa heading ya kiingereza imefutwa lakini ni vizuri tuone hawa wamiliki wa vyama kama wakijitoa itakuwaje.

Did U mean, Kikwete, Makamba, Slaa na Mbowe wakijiuzulu? kwani kabla yao hivyo vyama havikuwepo?
 
Taasisi yoyote yenye uendelevu haimtegemei mtu moja - yaani fulani akiondoka iwe ndio mwisho.
 
Chadema jina litafifia ila hisia na itikadi za uchadema (ukombozi) hazitakufa daima , ccm jina litapaa kwani JK+makamba ndio vikwazo namba mmoja.

ila hii sred imekonda jaribu kuiongezea nyama inoge
 
Back
Top Bottom