WANA JF, SIELEWI NA WALA SIJUI KIBURI HIKI CHA BARABARA YA KUPITIA SERENGETI KWENDA MUSOMA WALICHO NACHO KIKWETE NA LOWASSA WANAPATA KUTOKA WAPI. MAREKANI WALIKAA KIKAO SIKU TANO KUJADILI HATHARI ZA ECOLOGIA ZA SERENGETI KWA UWEPO WA BARABARA HIYO WAKALETA REPORT IKULU. LAKINI JK ASIKII. WWF WAMETOA ANGALIZO LAKINI JK NA LOWASSA AWASIKII WANASHABIKIA KISIASA zaidi. lowassa na Jk kwa pamoja ni kuwa wanashabikia ili kujiwekea mazingira ya kisiasa.
Naomba tuwakatae hawa mafisadi papa, hiyo barabara ikijengwa wanyama watapata usumbufu na itakuwa faida kwa masai mara na utalii wa kenya, watanzania tuamke tuungane kutetea masilahi ya taifa letu na sio mawazo ya watu walifilisika kufikiria.
SOURCE: Lowassa ajitosa sakata la Serengeti
NAOMBA WANAMAZINGIRA TANZANIA TUUNGANE KULINDA RASLIMALI ZA NCHI YETU NA VIZAZI VIJAVYO.