Kikwete na jiji la zanzibar

Seif al Islam

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
2,156
638
Wakati akilihutubia taifa jana kupitia televisheni pindi alipoanza kulizungumzia sakata la zanzibar kikwete aliiita zanzibar kuwa jiji sasa sijui kama ilikuwa bahati mbaya au kuna maana aliyotaka kuwapa wazanzibar na watanganyika pia
 
Mambo ya Zanzibar hata kuyaongelea naona shida! Sijui kangezama tu tupumzike
 
Wakati akilihutubia taifa jana kupitia televisheni pindi alipoanza kulizungumzia sakata la zanzibar kikwete aliiita zanzibar kuwa jiji sasa sijui kama ilikuwa bahati mbaya au kuna maana aliyotaka kuwapa wazanzibar na watanganyika pia

Nenda kaulize ile kurugenzi ya Ikulu
 
Hakukosea kwani yeye ni Rais wa MUUNGANO kwa hiyo Zanzibar kwake ni jiji kama la A town,,, Tanzania ni nchi mbili zilizoungana na ZANZIBAR na Rais wa Muungano JK........
 
Back
Top Bottom