Kikwete na CCM juu kuta za nyumba za watu, Dr Slaa na CHADEMA ndani ya mioyo ya watu

Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
298
Tangu kampeni zianze nimegundua kuwa JK na CCM wako mbali na watanzania, wamejaza picha kila mahali mf kuta za nyumba, nguzo za umeme, mabango makubwa.

Pamoja na jitihada hizo mvuto wao hauko kwa watu, kila mahali watu wanaizungumzia CCM na viongozi wao wanazungumziwa vibaya. Wanajitahidi kuwapakiza watu kwwenye magari lakini wapi, hakuna mvuto, wanabaki kwenye eneo la nje ya binadamu;

Upande wa pili Dr Slaa na Chadema wamejitahidi kuingia ndani ya mioyo ya watu mfano watu hujipeleka wenyewe kwenye mikutano ya Dr Slaa na chadema bila kubebwa. Hamna matangazo mengi kama ya CCM, Watu katika mikutano ya Chadema wanahamsa sana kuliko mikutano ya CCM inayotawaliwa na utarabu;

Maofisini na sehemu mbalimbali Dr Slaa ni tumaini la wengi, miaka hii kuzungumzia CCM kwa uzuri ni kama tusi, hakuna anayetaka kujadili sera CCM kwa uzuri.

CCM imekuwa kama mtu asiyeoga lakini anajitahidi kuvaa vizuri kwa nguzo za gharama kubwa, kitakachomumbua mtu huyo ni harufu mbaya.
 
Ni wazi kuwa mwaka huu ukombozi wa kweli utaletwa na watanzania wenyewe kupitia kura zao. Tuendelee kuiombea nchi yetu.
 
Tangu kampeni zianze nimegundua kuwa JK na CCM wako mbali na watanzania, wamejaza picha kila mahali mf kuta za nyumba, nguzo za umeme, mabango makubwa.

Pamoja na jitihada hizo mvuto wao hauko kwa watu, kila mahali watu wanaizungumzia CCM na viongozi wao wanazungumziwa vibaya. Wanajitahidi kuwapakiza watu kwwenye magari lakini wapi, hakuna mvuto, wanabaki kwenye eneo la nje ya binadamu;

Upande wa pili Dr Slaa na Chadema wamejitahidi kuingia ndani ya mioyo ya watu mfano watu hujipeleka wenyewe kwenye mikutano ya Dr Slaa na chadema bila kubebwa. Hamna matangazo mengi kama ya CCM, Watu katika mikutano ya Chadema wanahamsa sana kuliko mikutano ya CCM inayotawaliwa na utarabu;

Maofisini na sehemu mbalimbali Dr Slaa ni tumaini la wengi, miaka hii kuzungumzia CCM kwa uzuri ni kama tusi, hakuna anayetaka kujadili sera CCM kwa uzuri.

CCM imekuwa kama mtu asiyeoga lakini anajitahidi kuvaa vizuri kwa nguzo za gharama kubwa, kitakachomumbua mtu huyo ni harufu mbaya.

"CCM Kuvaa vizuri nguo nzuri wakati afya mbaya (kukosa dira, uelekeo, na utekelezaji), (kifo) matokeo mabaya yatawaumbua"
 
Wengi wanahudhuria mikutano ya ccm kwa sababu ya matamasha ya muziki na si vinginevyo wakati mioyo yao iko mbali na ccm
 
"CCM Kuvaa vizuri nguo nzuri wakati afya mbaya (kukosa dira, uelekeo, na utekelezaji), (kifo) matokeo mabaya yatawaumbua"[/QUOT
Matokeo mabaya yameshaanza kuonekana sehemu mbalimbali kama Moshi mjini, Mbulu, Hai,

Kampeni za wagombea wa CCM watu ni wachache sana pamoja na matangazo mengi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom