Kikwete na bill gates ikulu juzi

POSHO MAVYEO

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
371
112
Bill+Gatespix.jpg
President Jakaya Kikwete (right) meets with the co-chair of the Bill and Melinda Gates Foundation, Bill Gates, at State House in Dar es Salaam Wednesday. PHOTO | STATE HOUSE |
 
Yaani JK anaonekana hajiamini kbs hapo..................... Ona alivyojishika mikono na aliposhika haswa......
 
Wana jamvi wengi wana mawazo 'too negative' badala ya kujadili vipi Tanzania itaweza kupata watu kama Bill Gates kwa jinsi walivyo jenga kampuni zao na wema wao katika kusaidia watu duniani, sie tunajadili mambo yasio na maana. Fikra ndio zinajenga nchi. Ukiwa na fikra za kukosoa tu bila kuja na hoja za ufumbuzi wa kuleta maendeleo ndio tutabaki hivi hivi.
 
Suti kubwa, unaweza kuta anapiga mzinga hapo
Marais wenzie anawavali kaunda suti la system, bill gates ndio anataka kumuuzia sura apewe vyandarua na kimradi cha kuchimba visima. Cha zaidi nini Kikwete ata negotiate hapo? Hilo libendera la kushoto la nchi gani wajameni, Microsoft?
 
Bill+Gatespix.jpg
President Jakaya Kikwete (right) meets with the co-chair of the Bill and Melinda Gates Foundation, Bill Gates, at State House in Dar es Salaam Wednesday. PHOTO | STATE HOUSE |

Hivi kwanini Gates kaweka hilo folder chini?!
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Aibu kubwa kwa rais wa nchi kusema anavutia wawekezaji wakati nchi haina umeme...sijui anawataka wakawekeze ikulu ambako haukatiki au vipi maana haeleweki kabisaaaaaa
 
Back
Top Bottom