Kikwete Na "AU vs Taifa"

Banadugu,
Sometimes we need to be fair. I think this was not a bad idea, to let the country know of their prez's tasks, especially after we became angry of his travelling habits.

Africa needs Tanzania probably just as much as Tanzania needs Kikwete. It is up to him to stike the right balance. TZ is more experienced and well positioned to solving African crisises, as long as we don't overstreach our limited resources. If we stop helping Congo, Burundi, Rwanda, Somalia etc., their conflicts might spillover to our borders in the form of refugees etc., and instead of trading with them, we might end up sharing the little bread we have with them. I wouldn't mind seeing him doing some African diplomacy as long as he still keep a close eye on all the issues that Tanzanians entrusted him for. Mungu ibariki Tanzania.

Kwi kwi kwi!
Kweli watu hubadili mawazo na wazalendo watashinda!
Kumbe mkuu na wewe ulisapoti haya?
 
Wewe kama unashindwa ku-balance mambo ni wewe,kwa hoja yako inaonyesha kwamba asitumike kama M/kiti au unasema nini?Kwani mimi au yeye kakwambia Bongo ndio arudi tena au kwa kusema pia anawajibu pia wa kutumika kama M/kiti wa africa sio sahihi.Jua ku balance mambo ndugu sio ukiambiwa umeweka chumvi nyingi kesho ndio huweki kabisa.Mimi sipendi ziara zake nyingi za nje ila sio kwamba asiende kabisa!

Jambo jingine kunichanganya mimi na uyo mkwere JK unakosea sana maana I don't admire the guy ,he seem to me to be very weak !Ila hainifanyi nipinge kila jambo lake hata ile ambalo naona hajakosea .

Mutu huyu mtu kesharudi kutoka safari zake na sasa ni ZIMBABWE!
 
Majukumu ya Ya Afrika aliyopewa Kikwete na Zimbabwe yataliangamiza Taifa letu TANZANIA MUWE MAKINI!
 
Nianavyo afadhali muungwana atamke wazi kwamba anaacha uraisi anahamia kuwa waziri mambo ya nje, kwani simuelewi yeye kila kukicha kiguu na njia na kujiweka kimbelembele kushughulikia ya wengine kumbe kwake kuna waka moto!
 
Mimi kwa maoni yangu nchi imekwishamshinda huyu jamaa. Hivyo hakuna cha kunishangaza tena.

Katiba yetu ingekuwa ni kwa maslahi ya Watanzania basi kungekuwa na kipengele cha Bunge kupiga kura ya maoni ya kutokuwa na imani na Rais aliye madarakani na hivyo kumuondoa ili kuruhusu uchaguzi mwingine.

Mkuu nafikiri kwenye katiba hiki kipengele kipo ila sina hakika ngoja nikachambue msaafu nije na jibu la uhakika. ila hata kama kipengele hicho kipo nani wa kumfunga paka kengele??
 
Huyu mtu kauza nchi!
Na sasa anatumika kuuza BARA LOTE!
VITA ITAKAYOANZA HUKO ZIMBAWE ITASAMBAA!
NA MAKABURU WATALICHUKUA BARA NA KUDAI KUWA SISI NI WANYAMA WASIOWEZA KUISHI PAMOJA!
MIPAKA ITAWEKWA UPYA...NA AFRIKA KUGAWANYWA UPYA!
HAMJUI YA IRAQI?
NIULIZENI...IRAQI IMESHAGWANYWA!
SI TAIFA TENA!
 
Back
Top Bottom