Kikwete na aina ya Uongozi wa kuigwa

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,194
Nimefuatilia na kugundua Rais JK anafuata mfumo wa uongozi makini ambao unashirikisha taasisi mbali mbali za uongozi na maamuzi ndani ya serikali.
Mfumo wake wa uongozi unatoa maamuzi yanayotokana na uchunguzi/utafiti wa jambo kusudiwa; mfano Lowasa na kundi lake waliondoka kutokana na uchunguzi wa tume ya Richmond.
Leo hii uchunguzi wa CAG na kamati za bunge umehitimishwa kwa mawaziri kujiuzulu na chama chetu, CCM kujisafisha tukielekea uchaguzi wa ndani mwaka huu.

Kuna kila dalili ifikapo 2015, CCM itakuwa safi na kimbilio la wanyonge, vijana na akina mama nchini mwetu.

"UIMARA WA CCM, NI UIMARA WA TANZANIA"
 
Barbaric thinking. Umelazwa ICU ya Milembe nini?
 
Huu ni UONGO MTUPU! CCM hata ikajivua gamba namna gani kamwe haiwezi kuwa tumaini la Watanznia. DAWA: Lazima CCM ikae bench kwanza kwa miaka 10 ndipo inaweza kuja na mbinu mpya. Shida kubwa kabisa ya CCM ni ya kimfumo siyo ya mtu moja moja!
 
Barbaric thinking. Umelazwa ICU ya Milembe nini?

Niombe radhi; CCM ina serikali sikivu, makini inayotoa maamuzi kutokana na matakwa ya wananchi, hivyo kupitia wabunge leo utasikia maamuzi magumu yamefikiwa katika serikali ya JK
 
Nimefuatilia na kugundua Rais JK anafuata mfumo wa uongozi makini ambao unashirikisha taasisi mbali mbali za uongozi na maamuzi ndani ya serikali.
Mfumo wake wa uongozi unatoa maamuzi yanayotokana na uchunguzi/utafiti wa jambo kusudiwa; mfano Lowasa na kundi lake waliondoka kutokana na uchunguzi wa tume ya Richmond.
Leo hii uchunguzi wa CAG na kamati za bunge umehitimishwa kwa mawaziri kujiuzulu na chama chetu, CCM kujisafisha tukielekea uchaguzi wa ndani mwaka huu.

Kuna kila dalili ifikapo 2015, CCM itakuwa safi na kimbilio la wanyonge, vijana na akina mama nchini mwetu.

"UIMARA WA CCM, NI UIMARA WA TANZANIA"
Hatudanganyiki ndugu yangu.
 
Niombe radhi; CCM ina serikali sikivu, makini inayotoa maamuzi kutokana na matakwa ya wananchi, hivyo kupitia wabunge leo utasikia maamuzi magumu yamefikiwa katika serikali ya JK
Kweli wewe umelazwa ICU ya Milembe! Hebu tafakari kuhusu EPA, Richmond, Meremeta, Kagoda, sakata la Jairo, etc,. Je hao wezi wote wamechukuliwa hatua gani za kisheria na serikali yako unayodai ni sikivu?
 
Kila jambo linafuata mchakato:
EPA kesi zinaendelea Kisutu
Richmond kesi zinaendelea Kisutu pia Lowasa na kundi lake wamejitoa serikalini
Meremeta na Kagoda uchunguzi unaendelea upo katika hatua za mwisho
Jairo katupwa nje ya mfumo
 
2010 hukuona alivokuwa anawanadi kina Lowasa, Rustam, Mramba kwenye majukwaa kama nyanya. Kikwete na hao mnaowaita magamba lao moja. CCM haiponi nakwambia.
 
Kila jambo linafuata mchakato:
EPA kesi zinaendelea Kisutu
Richmond kesi zinaendelea Kisutu pia Lowasa na kundi lake wamejitoa serikalini
Meremeta na Kagoda uchunguzi unaendelea upo katika hatua za mwisho
Jairo katupwa nje ya mfumo
Noble lie! " Mafisadi hawakamatiki"- Pinda.
 
Niombe radhi; CCM ina serikali sikivu, makini inayotoa maamuzi kutokana na matakwa ya wananchi, hivyo kupitia wabunge leo utasikia maamuzi magumu yamefikiwa katika serikali ya JK

serikali ya wezi na walafi na king-maker ni Kikwete.
 
Huyu aliyeleta hii mada hastaili nahisi si mtanzania na si mwanachama wa ccm manake jamaa anaongea yaan halionei huruma taifa lake na chama chake ambacho kimechukiwa sana zaidi yeye analeta mada za kinafk badala yakusema hawa mafsadi wanyongwe yeye anasema mambo ambayo tumeyazoea kuyasikia kila kukicha. Onyo acha umagamba wako hapa
 
Juzi kwny muswada wa sheria ya ukaguz kama sikosea wenje alipendekeza ripot ziwe zinaenda kila baada ya miez 3 kabla ya demage haijawa kubwa wao wakang'ang'ania miez 6.kumbe yote nikujiandalia mazingira ya wizi kabla ya wakaguzi hawajaona
 
Nakubaliana na wewe japo siipendi CCM. In CCM currently there is a process of reformation, reshaping and renaissance. Bado miaka 2 mpaka uchaguzi mkuu. 2014 mvuto utakuwa umerudi ktk chama hicho kupitia changamoto za wapinzani.
Nimefuatilia na kugundua Rais JK anafuata mfumo wa uongozi makini ambao unashirikisha taasisi mbali mbali za uongozi na maamuzi ndani ya serikali.
Mfumo wake wa uongozi unatoa maamuzi yanayotokana na uchunguzi/utafiti wa jambo kusudiwa; mfano Lowasa na kundi lake waliondoka kutokana na uchunguzi wa tume ya Richmond.
Leo hii uchunguzi wa CAG na kamati za bunge umehitimishwa kwa mawaziri kujiuzulu na chama chetu, CCM kujisafisha tukielekea uchaguzi wa ndani mwaka huu.

Kuna kila dalili ifikapo 2015, CCM itakuwa safi na kimbilio la wanyonge, vijana na akina mama nchini mwetu.

"UIMARA WA CCM, NI UIMARA WA TANZANIA"
 
Kila jambo linafuata mchakato:
EPA kesi zinaendelea Kisutu
Richmond kesi zinaendelea Kisutu pia Lowasa na kundi lake wamejitoa serikalini
Meremeta na Kagoda uchunguzi unaendelea upo katika hatua za mwisho
Jairo katupwa nje ya mfumo
haya bwana all the best na kujisafisha kwenu!
 
Nakubaliana na wewe japo siipendi CCM. In CCM currently there is a process of reformation, reshaping and renaissance. Bado miaka 2 mpaka uchaguzi mkuu. 2014 mvuto utakuwa umerudi ktk chama hicho kupitia changamoto za wapinzani.

Mkuu kama nikurudisha wangerudisha mda mrefu sana lakini kwa ajili ya kubebana na udhaifu wa jk haiwezi kurudi,
 
Back
Top Bottom