Kikwete na ahadi za uongo jimboni kwa Kilango

bangusule

JF-Expert Member
Feb 9, 2008
291
190
wakati wa kampeni za Uraisi na Ubunge Kikwete pamoja na kuonywa na ana kilango alitoa ahadi ya kuijenga kwa lami barabara ya mkomazi-ndungu-gonja-same. mpaka dakika hii hakuna hata gari la kifusi lililoonekana katika barabara hiyo.

wananchi wa same-mashariki ni bora wakabahatisha kwa mgombea mwingine wa uraisi lakini siyo huyu Kikwete. tatizo linakuja pale mbunge wa same-mashariki, pamoja na mumewe mzee malecela, wanapoendelea kumpigia kampeni Kikwete achaguliwe vipindi viwili.

KIKWETE AMETULAGHAI SAME-MASHARIKI NA TUNAMSIHI MBUNGE WETU ANA KILANGO MALECELA ASIMUUNGE MKONO MWAKA 2010.
 
Back
Top Bottom