Kikwete Mzee wetu, mbona bashasha imepotea ghafla?

WATANZANIA BUANA,SASA WEWE ULITAKA ASIZEEKE KWANI YEYE NI JIWE? HATA JIWE NALO LINAZEEKAGA JAMANI LIKIPIGWA NA JUA SANA LINAPASUKA LENYEWE,ACHENI MAMBO YA AJABU AJABU HAPA,WE ULITAKA AWEJE SASA,JUA JK SASA ANAKIMBILIA 70 YRS MUDA SI MREFU PENGINE AKAFIKISHA MIAKA YA AHADI YA BINADAMU YA KUISHI MIAKA 70
Vizuri mwenyewe kagusia katika hotuba yake kuwa zama hizi ni za watu waongo wazushi wafitini!
Ni fact kuwa JK ni mtu mzima sana lakini si mzee wa kuitwa kachoka! Na suali la afya hamna mwenye formula nalo atleast kiafrika !mimi naona yupo kawaida tu kwa umri wake!
 
Jana ni kweli alimweka salma kwenye shukrani mahususi au alimsahau hahahahhahah najaribu kuwaza kwa sauti
 
Nilimuangalia kwa karibu juz juz dar kwenye matembezi fulan

Asee mzee ana stress sana ,uso wake unaonesha

Ila malipo ni hapahapa dunian
 
Swali hilo ungemuuliza mama ako maana alikua ameshakoma kuingia mwezini iweje baada ya kumuona Kikwete aingie ghafla???
Nimekununulia ile pedi yenye ka ubarid hivi, utaipenda? Na KY nakuja nayo hapo maana tangu muffler itobolewe imekua ni taflani Sana.
 
Stick na michango ya bongo celebrities uwezo wa ku interpret message na emphasize inayowekwa sio mambo ya size yako; kuona psychology na umuhimu wa hilo swala kwa muongeaji.

Usione vinaelea; vimeundwa
Mara ya mwisho umechezea Mic ya mkurya lini? Hizo busara zako peleka chooni.
 
Nimekununulia ile pedi yenye ka ubarid hivi, utaipenda? Na KY nakuja nayo hapo maana tangu muffler itobolewe imekua ni taflani Sana.
Ngoja nikupuuze naona umekosa hoja mpk unataka kubishana na keypad,
Teh teh teh
 
JK atakumbukwa kuwa alikuwa mzee wa vicheko na bashasha hata pale aliposhambuliwa kwa maneno ya kuudhi.

Kwa waliomuona Jana akifungua KK kwa hakika sio yule tunayemjua. Kwanza anaonekana mgonjwa na mzee kuliko hata mzee Mwinyi.

Nini kimemsibu mzee wetu hata katika siku aliyopaswa kuonyesha furaha? Siku ya kustaafu kabisa uongozi.

Kwa muonekano wa Jana jinsi alivyo choka na ukimuangalia kwa sasa rafiki yake Edward na ukiwasimamisha pamoja waweza kudhani Jakaya ni baba na Edo ni mwanae au mdogo wake wa mbali.

Kuna nini hii sudden change?
Katika maisha yangu sijawahi kuona pumbavu kama wewe.

RIP
 
Mara ya mwisho umechezea Mic ya mkurya lini? Hizo busara zako peleka chooni.
Asilimia kubwa ya hotuba ya Magu inajieleza jinsi gani what loyalty means to him, what defines respect and what is intolerable in his perspective.

Baadhi ya maneno aliyotumia kwenye hotuba and their meaning to him.

Kwenye loyalty "kumkumbusha BM kuwa yeye awezi sahau Mkapa ndio mtu wa kwanza kumuamini na majukumu makubwa, anashangaa Sumaye asivyo na shukran"

Shukran kwa JK aziishi anamuongelea kwa umuhimu na heshima sana kushinda wazee wote kutokana na alipomfikisha.

Anatafsiri vipi vitendo vya kuwakosea heshima viongozi au matendo yasiyo na nidhamu na hii sio one off bali inaonekana tabia.

Sasa kama ujaweza soma haiba ya raisi walau na wewe uvipe meaning yako, kukosoa nilichoandika kwa hoja na umekurupuka tu kuna kosa gani watu wakidhani labda kuna sababu zingine, serious mimi binafsi simjui mwanaume rijali mwenye tabia ya kuzungumza mambo ya kunyonya sijui mafuta kwanza wengine hizo bidhaa tunazijulia huku kama zipo duniani.

Lazima una matatizo zaidi; ukiona mtu anaongelea kitu ujue kinatawala kwenye mawazo yake lazima una elements za hoja zako kwa sababu haziingiliani kabisa na nilichoandika.

PS sitokujibu tena sehemu ya kukua ni kutokijibu upuuzi pia.
 
Asilimia kubwa ya hotuba ya Magu inajieleza jinsi gani what loyalty means to him, what defines respect and what is intolerable in his perspective.

Baadhi ya maneno aliyotumia kwenye hotuba and their meaning to him.

Kwenye loyalty "kumkumbusha BJ kuwa yeye awezi sahau Mkapa ndio mtu wa kwanza kumuamini na majukumu makubwa, anashangaa Sumaye asivyo na shukran"

Shukran kwa JK aziishi anamuongelea kwa umuhimu na heshima sana kushinda wazee wote kutokana na alipomfikisha.

Anatafsiri vipi vitendo vya kuwakosea heshima viongozi au matendo yasiyo na nidhamu na hii sio one off bali inaonekana tabia.

Sasa kama ujaweza soma haiba ya raisi walau na wewe uvipe meaning yako, kukosoa nilichoandika kwa hoja na umekurupuka tu kuna kosa gani watu wakidhani labda kuna sababu zingine, serious mimi binafsi simjui mwanaume rijali mwenye tabia ya kuzungumza mambo ya kunyonya sijui mafuta kwanza wengine hizo bidhaa tunazijulia huku kama zipo duniani.

Lazima una matatizo zaidi; ukiona mtu anaongelea kitu ujue kinatawala kwenye mawazo yake lazima una elements za hoja zako kwa sababu haziingiliani kabisa na nilichoandika.

PS sitokujibu tena sehemu ya kukua ni kutokijibu upuuzi pia.
Wewe Naona somo halijakuingia, nahamia kwenye baby care nadhani, haya utayapenda zaid na zaid
 
Back
Top Bottom