Kikwete Mzee wetu, mbona bashasha imepotea ghafla?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,793
71,210
JK atakumbukwa kuwa alikuwa mzee wa vicheko na bashasha hata pale aliposhambuliwa kwa maneno ya kuudhi.

Kwa waliomuona Jana akifungua KK kwa hakika sio yule tunayemjua. Kwanza anaonekana mgonjwa na mzee kuliko hata mzee Mwinyi.

Nini kimemsibu mzee wetu hata katika siku aliyopaswa kuonyesha furaha? Siku ya kustaafu kabisa uongozi.

Kwa muonekano wa Jana jinsi alivyo choka na ukimuangalia kwa sasa rafiki yake Edward na ukiwasimamisha pamoja waweza kudhani Jakaya ni baba na Edo ni mwanae au mdogo wake wa mbali.

Kuna nini hii sudden change?
 
Kwa waliomuona Jana akifungua KK kwa hakika sio yule tunayemjua.
Nini kimemsibu mzee wetu hata katika siku aliyopaswa kuonyesha furaha? Siku ya kustaafu kabisa uongozi.

Kuna nini hii sudden change?
JK hawezi kuacha chekacheka

Hapa anaonekana kukenua, kucheka au kufurahi?

JK atakumbukwa kuwa alikuwa mzee wa vicheko na bashasha hata pale aliposhambuliwa kwa maneno ya kuudhi.
Kwa waliomuona Jana akifungua KK kwa hakika sio yule tunayemjua. Kwanza anaonekana mgonjwa na mzee kuliko hata mzee Mwinyi.
Nini kimemsibu mzee wetu hata katika siku aliyopaswa kuonyesha furaha? Siku ya kustaafu kabisa uongozi.
Kwa muonekano wa Jana jinsi alivyo choka na ukimuangalia kwa sasa rafiki yake Edward na ukiwasimamisha pamoja waweza kudhani Jakaya ni baba na Edo ni mwanae au mdogo wake wa mbali.
Kuna nini hii sudden change?
It is true kwa kila aliyeangalia taarifa za habari za luninga usiku wa jana aligundua kuwa yule siye JK walizoea kumuona mwenye full tabasamu......

Tunapata somo moja kubwa sana ya hiyo kitu kuwa kuugua siyo kufa............

Nakumbuka madongo ambayo masisiem walikuwa wakimpiga Edo (including na JK mwenyewe) walipokuwa wakisema Ikulu siyo ward ya wagonjwa ambayo wanapelekwa wagonjwa.......

Sasa ndiyo umethibitika ule msemo unaosema Mungu si Athumani...........

Sasa imekuwa vice versa, Edo aliyekuwa anakejeliwa kuwa mgonjwa mahututi hadi kudaiwa anajisasaidia majukwaani sasa yuko fit kweli kweli na JK aliyekuwa ngangari sasa ndiye anayeonekana yuko gonjwa gonjwa.......
 
It is true kwa kila aliyeangalia taarifa za habari za usiku wa jana aligundua kuwa yule siye JK walizoea kumuona mwenye full tabasamu......

Tunapata somo moja kubwa sana ya hilo kuwa kuugua siyo kufa............

Nakumbuka madongo ambayo masisiem walikuwa wakimpiga Edo (including na JK mwenyewe) walipokuwa wakisema Ikulu siyo ward ya wagonjwa ambayo tunapeleka wagonjwa.......

Sisi ndiyo umethibitika ule msemo unaosema Mungu si Athumani...........

Sasa imekuwa vice versa, Edo aliyekuwa anakejeliwa kuwa mgonjwa mahututi hadi anajisasaidia majukwaani sasa yuko fit kweli kweli na JK alike lies anaonekana yuko fit kweli kweli sasa ndiye yuko taabani kweli kweli........
lowasa has a unique and peculiar personality and am sure Magu secretly admire him ila basi tu hamna jins ngoja tuone kama atapewa uwenyekiti.

NI KUBAYA
 
It is true kwa kila aliyeangalia taarifa za habari za luninga usiku wa jana aligundua kuwa yule siye JK walizoea kumuona mwenye full tabasamu......

Tunapata somo moja kubwa sana ya hiyo kitu kuwa kuugua siyo kufa............

Nakumbuka madongo ambayo masisiem walikuwa wakimpiga Edo (including na JK mwenyewe) walipokuwa wakisema Ikulu siyo ward ya wagonjwa ambayo wanapelekwa wagonjwa.......

Sasa ndiyo umethibitika ule msemo unaosema Mungu si Athumani...........

Sasa imekuwa vice versa, Edo aliyekuwa anakejeliwa kuwa mgonjwa mahututi hadi kudaiwa anajisasaidia majukwaani sasa yuko fit kweli kweli na JK aliyekuwa ngangari sasa ndiye anayeonekana yuko gonjwa gonjwa.......
Hapa Edo anaingiaje kaka? Acha ushabiki usio na tija
 
JK atakumbukwa kuwa alikuwa mzee wa vicheko na bashasha hata pale aliposhambuliwa kwa maneno ya kuudhi.
Kwa waliomuona Jana akifungua KK kwa hakika sio yule tunayemjua. Kwanza anaonekana mgonjwa na mzee kuliko hata mzee Mwinyi.
Nini kimemsibu mzee wetu hata katika siku aliyopaswa kuonyesha furaha? Siku ya kustaafu kabisa uongozi.
Kwa muonekano wa Jana jinsi alivyo choka na ukimuangalia kwa sasa rafiki yake Edward na ukiwasimamisha pamoja waweza kudhani Jakaya ni baba na Edo ni mwanae au mdogo wake wa mbali.
Kuna nini hii sudden change?

Nyie BAWACHA masikini hamjui hata wajibu wenu na hoja zenu za msingi mmepoteza kabisa, na maandalizi yenu ya 2025 kama mnavyohimizwa na chama chenu inaweza kuwa ndoto ya alinancha. Nyie siku hizi mnamjua sana JK? eti EDO mtoto anaonekana kijana sio mnajiombea mabaya na Sub ya Zero ya nini sasa kama EDO yuko fit.

Vipi hoja zenu za msingi kuzuia mkutano wa CCM, ufisadi, ESCROW, EPA mmemwachia nani tena? JK hamumuwezi kabisa kila fitna mlizompa mswahili yule anawapiga kanzu tu!
 
Noumaaaaaa sana mwamba safari za abroad aquashed zote. Pia ndio uzee tena umekaribia akatusalimie msoga
 
Ndiyo maana tunasema ukishakuwa na madaraka makubwa kama haya, unapostaafu ni nafasi ya kupumuzika. sababu baadhi ya viungo vinaanza kukataa. Inashangaza kuona bado kuna watu baada ya miaka mingi ya utumishi, uzeeni mtu anataka kuanza upya. AIBU HATA WEWE?
 
Kati ya vitu ambavyo JK alijipotezea heshima ni kuingia kikao cha CC na majina yake mfukoni

Pili aliyemtegemea kama atamrithi akapigwa mweleka

Tatu ni usaliti mkubwa aliyomfanyia rafiki yake wa muda mrefu Na aliyemsaidia kwa hali na mali kuingia magogoni 2005, kitu hiki hasa ndo kinachomtesa

Nne ni tumbua tumbua ya kipenzi cha wananchi Mh JPM

kwa mkutadha huu lazima anyauke na kusinyaa
 
Umeeleza vizuri. Huu ndo ukweli.
 
It is true kwa kila aliyeangalia taarifa za habari za luninga usiku wa jana aligundua kuwa yule siye JK walizoea kumuona mwenye full tabasamu......

Tunapata somo moja kubwa sana ya hiyo kitu kuwa kuugua siyo kufa............

Nakumbuka madongo ambayo masisiem walikuwa wakimpiga Edo (including na JK mwenyewe) walipokuwa wakisema Ikulu siyo ward ya wagonjwa ambayo wanapelekwa wagonjwa.......

Sasa ndiyo umethibitika ule msemo unaosema Mungu si Athumani...........

Sasa imekuwa vice versa, Edo aliyekuwa anakejeliwa kuwa mgonjwa mahututi hadi kudaiwa anajisasaidia majukwaani sasa yuko fit kweli kweli na JK aliyekuwa ngangari sasa ndiye anayeonekana yuko gonjwa gonjwa.......

Unapigania kumtetea mtu hata asiyekujua wala kukuthamini, utakuwa na matatizo ya akili siyo bure,
fisadi Lowasa hajui hata kama unaishi Dunia hii,
kwa nini usijali familia yako zaidi?
 
Back
Top Bottom