Kikwete, Mwondoe MEMBE, mpe nafasi MAHIGA Foreign Affairs

Nami napinga mtazamo kuwa mwenye good academic CV anaweza kuwa kiongozi wa kisiasa? Mnamkumbuka Tutemeke Sanga? Je mnaikumbuka CV yake? Je mnaijua CV ya makamu wa rais Mh. Shein? inaenda na anacho deliver? Na Je, huyo Mahiga, mnajua perfomance yake huko, na watu aliyo waongoza katika nafasi mbalimbali mpaka sasa wanamzungumziaje? Je, ni Mahiga pekee (kwa TZ yote), ndio anafaa zaidi kumpisha Membe? - Je, ulisha pata CV yake ya mtaani kuhusu issue za kifisadi na kujilimbikizia mali?

''DON'T JUDGE A BOOK BY LOOKING AT ITS COVER''

Kwa hiyo unashauri nini hapa? Tuwape uongozi makada tu siyo au?
 
Kwa hiyo unashauri nini hapa? Tuwape uongozi makada tu siyo au?

Bwana mkumbo,

Ninacho maanisha hapa nikuwa tumpe uongozi mtu tunaye mfahamu vizuri sana, tabia yake, mienendo yake, utendaji kazi wake, mahusiano yake nk kama unavyo ona tunamfahamu mtu kama Karamagi, Chenge, Membe,Salim A etc. Suala la elimu ni kitu kimoja, na utendaji kazi bora na uadilifu ni kitu kingine? Hao makada, tulio nao kwanza most of them wameoza kabisa.....fikra zao now ni za kifisadi!!

Thanks,
 
Kwani Mtu akiwa mzuri lazma awe waziri!!! Mahigo si anatumikia Taifa UN??? Amesema amechoka??? Au mnataka nae apate nafasi afanye ufisadi!!!!

Kuwa na CV bomba, shule ya nguvu haimaanishi anaweza kuwa mzuri kwa kila kitu!! kwakuwa huko aliko anafanya vizuri, basi ndio nafasi anayostahili hiyo!!!! Vinginevyo yatakuwa yaleyale ya prof. sarungi!!!! Ndio tatizo letu waTZ!!!!
 
Yap Yap Yap....mahiga For Presidency 2015!!!!!!!....hichi Ndio Kichwa..

Membe Kazi Yako Ya Kumfix Lowassa ..[pamoja Na Weakness Zake]..ili Uupate Urais 2015 ..inajulikana,..bora Ukae Kando Foregn ..aje Mtanzania Mwenye Akili Zake Augustine Mahiga..

Watu Mnaofanya Kazi Kwa Kuuota Urais Mapema Hii Mnatuharibia Nchi......wana Falsafa Wa Mwanzo Wanasema Kuwa Kiongozi Mzuri Ni Yule Mwenye Uwezo Wa Kutawala Lakini Hapendi..bali Watu Ndio Watamuona Anafaa Na Watamuomba Awatawale..

Shime Jk ...mteue Mahiga Ubunge [jimbo La Ikulu]..umpe Nafasi Ya Foregn..atakusaidia Sana Kwa Nafasi Yako Kama Rais Wa Au........hatakaa Akiuota Urais Na Kuwajengea Majungu Anaowahofu Kama Huyu Membe!!!!

Kwa CV yake nasita kumsuport apate kazi ya Membe. Kuna baadhi ya vitu vinamiss ktk CV yake.
 
Kwani Membe kafanya ufisadi gani tunaoweza kuthibitisha hapa?

Naona phillemon mikael unamwona Membe tishio la chama chako chadema ifikapo 2015!! Jiandae tu mkuu, utapambana naye tu hapo 2015; anza kupangusa vumbi helikopta yako.
 
Wacheni ninyi hamumjui Mahiga. Ni fisadi nambari wani. Alipokuwa Usalama wa taifa alijipatia sifa za ufisadi wa nguoni na wa madaraka hadi akafukuzwa na Nyerere na kupelekwa exile Canada Ubalozini. Mnataka akina Hosea wangapi serikalini? Huyu Mahiga hana fikra mpya-Amepitwa na wakati-astaafu tu!!!Kwani hapo ubalozini New York anangoja nini? Anazuia nafasi za vijana kuwa mabalozi.
 
Nilishasema awali kuwa kuna kitu kinamiss ktk CV ya huyu bwana....
nadhani bado mengi yanakuja
 
Talk of speculations! Mkuu mbona wewe ndo umekuja na speculations hapa? Iam sorry to say lakini ukitaka kujenga hoja lazima uwe makini, humu JF watu wamo tofauti.....kwa mtu kusoma ataona kabisa wewe ulichokiandika humu juu..ni speculations. Kwa hiyo naamini kabisa, pamoja na nia njema, huna basis ya kumcriticize MM au FMES! Wewe hukuback up stament zako na solid evidence yoyote...We dont need to be University graduates to know that...

Harafu watu msitake kutudanganya hapa eti Foreign Minister hahusiki na vitambulisho! Yes it can be true, it is not in his portfolio, but mimi kama mwananchi experience yangu shows me a different game! Kwani Lowassa aliyoyafanya alikuwa anahusika? tangu lini Lowassa akahusika na TANESCO? BOT..Iam mean he was a PM lakini hayo mambo yako kwenye docket nyingine kabisa. Kwa hiyo Membe ni kweli hahusiki, lakini kwa ufisadi uliokithiri TZ..sitashangaa..maana uzoefu unaonyesha hivyo.

Swala la Usalama wa Taifa, yes, you got it right that they might be involved in making these IDs, but again what we have seen, ni kwamba this usalama`s have been a conduit of corruption deals in Tanzania-big time! Talk of BOT, KAGODA et al! So what makes you think kwamba ikija IDs issue watakuwa clean?

Kifupi, hapa watu tuna akili zetu, tunaweza kuchambua mchele na pumba! Tusigeuzwe mazuzu hapa!

Hapo mzee naona umeacha solemba, point yako hapo ni ipi hasa..

Neno waziri mkuu pekee linajitosheleza kumfanya Lowassa aingilie kazi za wizara ya Nishati, sasa sijui waziri wa mambo ya nje anahusiana vp na vitambulisho I just cant get it!

Kama unazungumzia "ukaribu" wake na viongozi wa juu ndio unampa access hiyo tuambie tujue badala ya kuzungumka m-mbuyu....

Hata hivyo assume anahusika tupewe basi wala "ki-ushahidi ka- mazingira" basi halafu tujengee hoja on that huo ndio uzuri wa JF kwani RA si anahusika na Richmond je yeye ni waziri mkuu au waziri wa nishati? I agree with U cant rule-out that one in TZ
 
Wacheni ninyi hamumjui Mahiga. Ni fisadi nambari wani. Alipokuwa Usalama wa taifa alijipatia sifa za ufisadi wa nguoni na wa madaraka hadi akafukuzwa na Nyerere na kupelekwa exile Canada Ubalozini. Mnataka akina Hosea wangapi serikalini? Huyu Mahiga hana fikra mpya-Amepitwa na wakati-astaafu tu!!!Kwani hapo ubalozini New York anangoja nini? Anazuia nafasi za vijana kuwa mabalozi.

Karibu jamvini!!!
Lakini kwenda kuwa balozi UN si aliombwa na Uncle Ben au nayo ni speculation?
 
.....Kama uraisi unapatikana kwa kuangalia CV, basi Ibrahim Haruna Lipumba angelikuwa raisi toka 1995. Kama uraisi unapatikana kwa kuangalia CV, basi salim ahmed salim angelikuwa raisi kwa kupitia CCM toka 1995. Hata huyu pinda asingeliweza kukalia kiti cha UPM kama CV ndicho kigezo.
 
Nitapenda sana kujua sababu zinazowafanya kumtosa Membe...Huyu jamaa namfahamu vizuri ktk utendaji kazi wake..Kifupi hakupendwa kabisa na watu wa Mkapa pamoja na kwamba alikuwa mfanyakazi bora na mwenye uchungu na nchi..
Maswali yake yalikuwa chachu kwa balozi aliyekuwepo hapa pamoja na huyo mwakilishi wa Mkapa toka Ikulu...
Kifupi ktk ubalozi huu Membe alikuwa kama Zitto kwa kuhoji nyendo zisizofahamika na hao wenye CV kubwa ndio walikuwa wakifunga ma deal na Barricks with 10%, sasa nambieni ubaya wa huyu mkuu.
Je, kuwa mnoko ni sababu ya kutokuwa na elimu tosha?
 
Bob,

U nailed it right on the head!

Membe ni miongoni mwa waziri wachache (kama wengine wapo) ktk baraza la Kikwete mwenye uchungu na uazalendo wa nchi.

Nashangaa kuambiwa eti alimfitini Balozi Hassy Kitine kwenye lile skandali la matibabu ya mkewe Kitine. Kinachonishangaza mimi ni mtu akiibua uozo wa viongozi anaambiwa eti ana fitna, majungu anatumia na mtandao nk Hivi mpaka uwe Zitto au Dr Slaa ndio ukisema uozo ndio unakuwa mzalendo wa kweli?

Hayo Ma CV makubwa ya UN sijui world bank ndio yaliyofilisi BOT kalabagho!
 
Mkuu wala sikuwa na nia ya malumbano mpaka uanze ku-quote misahafu! Iam sure you are above such fray.

I just wanted you to be fair and objective. Cant we agree to disagree without name calling? My point is dont accuse people what you exactly do!

I certainly respect your right as rightly indicated in the constitution, but again you have to respect my right to disagree with you!. Si ndo uhuru wa mawazo wenyewe au?

Thanks

uhuru wa kutoa Mawazo ndio niliotumia hata kusema jina lako.Mie naongozwa na katiba na si jambo lingine.

ila asante kwa mawazo yako thabiti na nitaanza kuyafanyia kazi.
 
GT. mara ya mwisho uliniahidi unaenda msituni kutuletea jina la kampuni ya Membe inayohusishwa ktk mradi wa ID, je umeishaipata?
 
GT. mara ya mwisho uliniahidi unaenda msituni kutuletea jina la kampuni ya Membe inayohusishwa ktk mradi wa ID, je umeishaipata?

Kinvaba what is the connection kwenye mada hii na ahadi ya GT na kukupa ushahidi? Anzisha thread omba ushahidi tutakuja huko kusoma na kuchangia .Hapa issue ni ya Membe changia juu ya membe na GT mtafute pengine .
 
Huyo kamanda ana hoja kwa kuuliza hivyo. aidha bado swala hilo linamuhusu huyo huyo Mh.Membe na hakuna haja ya kuanzisha mada nyingine.
 
Kinvaba what is the connection kwenye mada hii na ahadi ya GT na kukupa ushahidi? Anzisha thread omba ushahidi tutakuja huko kusoma na kuchangia .Hapa issue ni ya Membe changia juu ya membe na GT mtafute pengine .

Huku ndio kujivika ukiranja tatizo lipo wapi hapo? GT anatakiwa kule amalizie "kiporo" chake
 
na hao wenye CV kubwa ndio walikuwa wakifunga ma deal na Barricks with 10%,

Mkandara unaweza kuwa specific? Post yako inaweza kuchukuliwa kuwa ina mu implicate balozi Mahiga.

Balozi Mahiga ni mtu anayejiheshimu na kuheshimiwa, mtu wa watu ambaye anaweza kukaa na watu wa rika zote na ku chat kama mtu wa kawaida tu bila kujali usomi au mambo ya ukubwa.Balozi Mahiga aliitwa kutoka UN kuifanyia kazi serikali ya Tanzania na kwa uzalendo mkubwa alifanya sacrifice ya kuuachia mshahara mnono wa UN akachukua mshahara mdogo wa serikali ya Tanzania.Balozi Mahiga ameipa Tanzania heshima kwa kufanikisha kampeni za Tanzania kuwa rais wa baraza la UN, na mpaka sasa alipomaliza muda wake wamemtaka awe co-chair wa

11 January 2008
The President of the General Assembly, H.E. Dr. Srgjan Kerim, today appointed Ambassador Augustine Mahiga of Tanzania and Ambassador Paul Kavanagh of Ireland as co-Chairs for the consultations on System-wide Coherence. The consultations on the issue will resume on 8 February 2008 with a meeting aimed at taking stock of last years developments.

Sasa naomba unapotupa accusations toa vitu specific usije ukawa kama mtego wa panya unaowakumba waliomo na wasiomo.

No specifics no right to speak, taja nani unamtuhumu kuchukua 10% lakini usi generalize kwamba wenye CV impressive ndio waliofanya ufisadi.Ufisadi ni nature ya mtu, kuna vipanga na vilaza walio mafisadi kama vile walivyo vipanga na vilaza wasio mafisadi.

Huyu mzee namfahamu personally na inasikitisha kuona anapakwa matope bila msingi.
 
mkuu pandit! nashukuru kwa kuwa muwazi na mkweli! mbona mambo haya tunayo ambiwa ni very general! mbona makosa ya membe haya tajwi? membe amekosa nini? na kwa nini tumuhamishe mahiga kutoka kwenye kazi zake za sasa ambako mimi naona kwa CV yake kuna mfaa! anaiwakilisha tanzania vizuri kimataifa....... sasa nyie mnataka tumuondoe huko kwenye international sphere ili tu mreplace na vilaza? hapo tutakosea na tutatiwa aibu tukileta velaza! huku UN hamna blah blah.......

bwana kama huyo maiga ni kichwa na kwa cv yake uwaziri haumfai! mambo ya kukaa siku nzima kuandika dokezo na ziara za kutetea bajeti hazimfai intelectual kama yeye!
 
Huku ndio kujivika ukiranja tatizo lipo wapi hapo? GT anatakiwa kule amalizie "kiporo" chake

I just got good seats for this joint..

RM12440~Joe-Frazier-vs-Muhammad-Ali-Super-Fight-II-Posters.jpg
 
Back
Top Bottom