wimbi la mbele
JF-Expert Member
- Jan 4, 2011
- 647
- 266
sasa hii desperation ya nini?
Wengine tunaofikiria mbali zaidi ya hapa tulipo tunaona hilo ni jambo jema. Ingekuwa vema kama tungeamua kutatua matatizo yaliyopo ili muungano uweze kuwa imara. Sasa Zenj hawataki na wamekuwa kero kubwa itakuwaje? Let them go....
Asaidie kuokoa jahazi kwani linazama? Kama linazama acha lizame tu. Who cares?
Hatuwezi kuwaacha wazanzibar waende zao bure,kamwe haliwezekani hili
kama kuna mambo ya kutisha na ya hatari kutokea hapa Jamhuri ya muungano
wa Tanzania ,TANGANYIKA NA ZANZIBAR(UNGUJA NA PEMBA) basi ni hili la kuwaacha
wazanzibar waende zao.
Sintakubali hata kwa neno moja kukubali kutengana na zanzibar.Ni dhambi kubwa sana.tunaongea kwa
kwa maneno rahisi sana lakini hatujui implications zake,hatujui effects zake,hatujui nini kitatokea baada ya
mfarakano huu.Hakuna anayejua nini kitatokea,
Wa-Tanzania tuungane kwa nguvu zote kuhakikisha MUUNGANO unadumu milele daima na kizazi chetu kinaukuta.
Mungu ibariki Tanzania,
Mungu ibariki Africa
Mungu Bariki Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Namzungumzia Ramadhani Omar Mapuri...do u guys still remember him!?
Namzungumzia Ramadhani Omar Mapuri...do u guys still remember him!?
Zanzibar kama inavyojiita kuwa ni nchi ni aibu kuendeshwa kwa kutegemea ufanisi wa mtu mmoja. Kumbuka viongozi wa dini ndo wenye sauti kuliko wa serikali kule Zanzibar na mapuri si kiongozi wa dini. Naamini leo hii kama asingekuwepo Seif Sharif Hamad,ungeomba arudi kuokoa jahazi kama suala ni ushawishi. Tatizo Zanzibar kama nilivyokwambia wenye ushawishi ni viongozi wa dini ambao wengi wao nikiwaangalia sisiti kuhoji uzalendo wao na kama kweli wana nia njema na Zanzibar. Lakini pia elimu yao inanipa mashaka,maana mtu hupata elimu imsaidie kutatua matatizo na sio kuyaongeza.
H.E. Mr. Omar Ramadhan MapuriName: Omar Ramadhan Mapuri
Ambassador Extraordinary and Plenipotentiary
CURRICULUM VITAE FOR THE AMBASSADOR
Born: 10th January, 1950, Kahama, Tanzania.
Sex : Male
Marital Status: Married with 6 children.
Education:: - B. Sc. (Education), University of Dar es Salaam
Public Service : - Primary School Teacher, 1970.
- M. A. (Education), University of Chicago, USA
- Education Planning, IIEP, Paris
- Secondary School Teacher, 1971.
Publication : - "ZANZIBAR – the 1964 Revolution: Prospects and Achievements".
- Teacher Training Tutor, 1975 – 78.
- Chief Planning Officer, Ministry of Education, Zanzibar, 1978 – 81.
- Director of Administration and Planning, Ministry of Education, Zanzibar, 1981 – 84.
- Private Secretary to the President of Zanzibar, 1984 – 85.
- Minister of Education, Zanzibar, 1985 – 1989; 1990 – 2000.
- Minister of State in the Chief Minister's Officer, Zanzibar, 1989 – 90.
- Deputy Chief Minister, Zanzibar, 1995 – 2000.
- Minister of State in the Prime Minister's Office, United Republic of Tanzania, 2000 – 2003.
- Minister of Home Affairs, United Republic of Tanzania, 2003 – 2005.
- Ambassador to the People's Republic of China, 2006- present.
- Various articles in Journals and newspapers in Tanzania.
Hobbies : - Gardening; appreciating music.
Asaidie kuokoa jahazi kwani linazama? Kama linazama acha lizame tu. Who cares?
Hatuwezi kuwaacha wazanzibar waende zao bure,kamwe haliwezekani hili
kama kuna mambo ya kutisha na ya hatari kutokea hapa Jamhuri ya muungano
wa Tanzania ,TANGANYIKA NA ZANZIBAR(UNGUJA NA PEMBA) basi ni hili la kuwaacha
wazanzibar waende zao.
Sintakubali hata kwa neno moja kukubali kutengana na zanzibar.Ni dhambi kubwa sana.tunaongea kwa
kwa maneno rahisi sana lakini hatujui implications zake,hatujui effects zake,hatujui nini kitatokea baada ya
mfarakano huu.Hakuna anayejua nini kitatokea,
Wa-Tanzania tuungane kwa nguvu zote kuhakikisha MUUNGANO unadumu milele daima na kizazi chetu kinaukuta.
Mungu ibariki Tanzania,
Mungu ibariki Africa
Mungu Bariki Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Hakiwezi kuwemo hiki kitabu na hawampendinakumbuka kitabu chake hiki kilichomwa hadharani katika mkutano wa CUF kutokana na upotoshaji wa kihistoria aliouonesha ndani yake, na hata serikali ya wakati ule chini ya Dr Salmin Amour hawajakikubali kitabu kile. hata sijui kama kipo katika archives za zanzibar!
Namzungumzia Ramadhani Omar Mapuri...do u guys still remember him!?