Elections 2010 Kikwete mgeni rasmi? Taifa stars haitakwepa kichapo

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Magazeti ya leo yameandika kwamba JK atahudhuria gemu kati ya Stars na Morocco.

Hapo Watanzania tuhesabu kuwa bado timu yetu ina pointi 1 kwa sababu JK ana gundu.
 
Kama Stars wanataka kushinda basi wamweleze JK asiende maana anataka kuigeuza mechi hiyo mtaji wa kisiasa na Mwenyezi Mungu hatampa nafasi hiyo na matokeo yake ni kuwa tutafungwa siyo chini ya mabao matatu bila majibu ili kumdhalilisha tu.
 
Siendi uwanjani, sitaki kuinajisi nafsi yangu kama nitamuona anachekacheka, naweza nikapandwa na mzuka.
 
NINGESHAURI DR Slaa aende uwanjani, am-neutralize kikwete na gundu lake vinginevyo tumepoteza
 
Nadhani kwenda kwa Kikwete uwanjani ni kawaida lakini kwenda kwa Dr. Slaa itaonekana siasa maana hatukuwa tukimwona kabla!
 
Hata mimi naitakia ushindi. Lakini with JK in, chances are slim

Kwani huyo JK ndiyo anacheza namba gani katika first IX?

Jamani hata upumbavu una mipaka yake na sasa huu utumbo na upupu ni just beyond those mipakas!
 
Jk apo ndo umemfikisha ndo maana tumefungwa gundu lake ilo na litahamia tar 31 oct habari ndo iyoooooooooo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom