Kikwete mbona haendi mikoani?

Kubwa analoliogopa ni kuzomewa juzi kati hapa mama salma kapewa :A S 103: v na watoto wa Bunda kwa Wasira so mzee hataki kuona alama ya V ana arlegie nayo
 
Siku hizi anasafiri kwenda nje kimya kimya bila hata shamra shamra za kusindikizwa kwani naona anaona aibu; mzee mzima hatulii nyumbani kwao kila leo kigulu na njia!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom