Kikwete: Lowassa ni msafi, alisingiziwa!

Lazima Lowassa arudishwe Uwaziri Mkuu.. na mtakoma mliokuwa wapinzani wengine tulishaweka vichwa vyetu kwenye sahani..

Bad timing!! Kama EL alisingiziwa basi aliemsingizia ni Dr. M sasa kama Muungwana akienda Kyela kumnadi Dr. M atawaambia nini wapiga kura?

Kwanini asingesubiri kwanza aende Kyela ndio atoe hizo kauli??
 
ukiwaangalia kwa makini utaona tu hapo matabasam yao yamekaa kinafiki tuu ili kuwazuga wananchi.
 
JK na Lowassa hawakukutana barabarani na mkakati wao wa kuwa viongozii wa juu katika taifa hilii ni mpango wa pamoja. JK anamwihitajii sanaa lowassa katika harakati zake za uongozi na fadhila zake tutazionaa karibuni.

ni kweli uwezekano wa EL kurejeaa madarakani ni mkubwa kuliko inavyodhaniwaa..akina sitta, mwakyembe, kilangoo sio wapigananji bali waganga njaa ambao hata JK na El wanawatambuaaaa...

kwa kauli hii ya JK kwa EL ni mtaji mkubwaa kisiasa...ni mkakatii..
 
Watanzania tusipojihadhari kwa kumchagua Slaa na CHADEMA tutajikuta tunaongozwa mwaka 2011 na:
Jakaya M. Kikwete
Edward Lowasa
Rostam Aziz
Andrew Chenge
Basil Mramba
Daniel Yona
Gray Mgonja na
Maboss wa Kagoda wakiongozwa na mizimu ya marehemu Daudi Ballali wakisaidiwa na nguvu za giza na kishirikina za Sheikh Yahya
 
Simple saaaana kumrudisha Lowassa kwenye mstari, kwa maandalizi ya kuukwaa Urais hapo 2015.

Kama kawaida yake, huku akicheka cheka, JK atautangazia umma kwamba Lowassa alisingiziwa na kuonewa tu, na ndio maana hata kamati ya akina Mwakyembe haikumpa haki yake ya kumuhoji kabla ya kutoa hukumu yao. Hivyo basi, kwa kuwa Lowassa alisemewa uongo, yeye JK ameamua kumrudishia nafasi aliyokuwa nayo (ya Uwaziri Mkuu) au hata uwaziri wa Mambo ya Nje/Fedha - Ili mradi tu awe na chance kubwa ya kuja kuwa Rais 2015.

Usicheze na Serikali ya JK/CCM bana, kama wamekula U-turn in less than 2 months na kusema sasa Bashe ni Raia, tena wa kuzaliwa, kwa nyuso kavukavu, watashindwa nini hawa?

SIBISHI, Kwa Hawa viongozi wetu yote yanawezekana KABISa, and nasi wananchi hutashangaa tutapiga kura.:confused2:
 
Watanzania tusipojihadhari kwa kumchagua Slaa na CHADEMA tutajikuta tunaongozwa mwaka 2011 na:
Jakaya M. Kikwete
Edward Lowasa
Rostam Aziz
Andrew Chenge
Basil Mramba
Daniel Yona
Gray Mgonja na
Maboss wa Kagoda wakiongozwa na mizimu ya marehemu Daudi Ballali wakisaidiwa na nguvu za giza na kishirikina za Sheikh Yahya

CHAMA CHA MAFISADI kinaendelea kuwawakumbatia mafisadi wake basi sijui kama mtaweza kununua hata kilo ya sukari, kwani mtanyonywa hadi tone la mwishO la damu.

_____________________________________________________________________________________
HERI WALIO MASKINI WA ROHO MAANA CHADEMA ITAWAFARIJI!
 
Yaliyojiri siku CCM walipofunga NDOA na UFISADI: Bwana Harusi: Mimi CCM nakutwaa wewe UFISADI uwe mke wangu wa maisha, nikupende, nikutunze wakati wa shida na raha. Hivyo ndivyo nitakavyofanya kufuata agizo ovu la IBILISI. Ewe Taasisi ya Kulinda na Kuendeleza Rushwa (TAKUKURU) nisaidie.
 
Haina maana kulaumu tawi wakati shida iko kwenye mzizi. Huo mzizi unajua ugonjwa wake ndiyo maana hauoni sababu ya kushutumu tawi!! tawi halina tatizo watanzania!!!!








pigia kampeni[/QUOTE]
 
Hapa siyo kuwa JK anawapigia kampeni akina EL, Mramba nk. Kwa jinsi mabo yalivyomfika shingoni JK lazima awatumie hawa watu kupata kura kwa vile bado wako sure kuwa watarudi mjengoni. Sasa kama unasikia anazomewa Mbulu, opnion polls za UWT zimemkalia kenge hivi kweli unategemea aziachie kura za kina EL, Mramba n.k. kwa vile ni mafisadi??? Mimi nafikiri JK anawatumia hawa watu kwa manufaa yake, ila kama atapita hatujui amewaahidi nini safari hii, maana kisha sema Mramba hana kesi na EL ni msafi, hivyo hakuna haja ya kuwatosa.

Anyway, we do not need to worry much, mipango yao haitafanikiwa kwa vile Dr. Slaa ndiye our next Prez!!
 
Njia pekee ya uhakika ya kumzuia huyo Lowassa kupata tena madaraka makubwa ni kumkataa Bw. Kikwete kuwa Rais tena.
Tumchague Dr. Slaa awe Rais wa Tanzania.
Jukumu la kuikomboa nchi yetu kutoka kwa hao akina Lowassa, Rostam, Chenge, Mramba, Kikwete na Makamba liko mikononi mwetu.
Hili ni jukumu la wazalendo wote.
Mungu ibariki Tanzania.
 
59039_448026556224_104157016224_5367965_259627_n.jpg

Live Photos : Lowassa Supports!!!

Du Mkuu mbona supporters wa Lowassa wanaonekana kuwa ni watoto. Tena wanaonekana kuwa ni watoto wachacfuwachafu tu, au ndio waliahidiwa visenti kuja kuunda umati?

Kama kweli Lowassa akirudi kuwa waziri Mkuu wa Tanzania, i wonder Pinda atakuwa nani. Na Kama kweli Lowassa akiwa PM basi Tanzania itakuwa nchi ya wapumbavu kuliko nchi yoyote ile duniani. Sitaki kuamini hila hata kidogo.

Mwanakijiji am not sure kama kweli unafikiri kwa usahihi.
 
Remember, the late PM Sokoine resigned, took a break and came back!
So did PM Netanyahu!
Why not Lowassa?

Hapana. Usidanganye watu.
Sokoine aliomba kwenda shule Bulgaria. Hakujiuzuru kwa kashifa. Lowasa alijiuzuru kwa kashifa ya wizi wa fedha ya umma (Richmond scam). Wawili hawa hawahusiani.
Sokoine alikuwa ameshindwa kujiunga UDSM kusomea PS (chini ya kiwango, kitaaluma). Alipopata nafasi ya Bulgaria, Mwl. Nyerere alimkubalia kujiuzuru ali anede masomoni nje ya nchi. Baada ya kumaliza masomo, Mwl. yuleyule alimteua tena kuendelea na nafasi ya PM.
Sasa hapa kuna uhusiano gani na Lowasa wako aliyefukuzwa u-PM kwa tuhuma za wizi?
 
What's wrong with tha? Lowassa is one of the finest politicians this nation has ever produced!
Just like Netanyahu, he resigned, went to regroup and will be back again. Netanyahu did the same. Even the late Sokoine did the same:eyebrows:
Vote CCM
Go JK

Netanyahu wa not a fisadi like EL, neither wa sokoine. EL is a reknowned FISADI kama walivyo his other 'boys 2 men'. kwanza siasa za israel ziko mbali sana u cant compare with TZ, kule hawana mchezo na siasa if u dont deliver ur out hata kama haujamaliza muda wako, u will be voted out kwa staili ya 'kutokuwa na imani na uongozi':mad2:
 
Mbona haya tuliyasema mapema jamani.. hakuna wakati wowote ambapo hawa wawili hawakuwa wamoja.. na chances ni kuwa EL atarudi kuwa Waziri Mkuu.. walianza pamoja watamaliza pamoja..si unajua tena "hawakukutana barabarani"?


Sijawahi msikia Rais wetu akimuita Lowassa Fisadi. Hata alipojiunga CHADEMA/UKAWA hawajawahi mzungumzia vibaya.
 
Baada ya kumpigia kampeni BAsil Mramba Rombo, JK saa Katika kampeni zake za mkoani Arusha anaelekea Monduli atakapomnadi na kufanya mazungumzo ya faragha na Lowassa

wtcoj.jpg

Nauibua uzi huu toka "our archives"

Linganisheni kauli za CCM za wakati huo na sasa juu ya Lowasa.

Pimeni wenyewe!!!
 
Hahahahaaaaaa huu mchezo hauitaji hasira wanasema waswahili. Makaburi mengine hamtatoa mifupa mtaamsha mazombie eti.
 
Back
Top Bottom