Kikwete: Lowassa ni msafi, alisingiziwa!

MM, unaota au? nani amekuambia JK atapita kwenye kinyanganyiro hiki cha urais? kwa taarifa yako tu huyu Bw hafiki kokote, na siku ya uchaguzi hatopiga kura kwani hatakuwa nje ya nchi kwa dharura.

Labda hizo kura ziwe zinapigwa kwenye ukumbi huu wa JF tu.
 
Similarities za Lowassa na Sokoine zinaishia wote kuwa Wamasai wa Monduli na majina yao kuwa yanaanza na Edward FULL STOP. NI matusi kumlinganisha Lowassa na Sokoine ni kama mbingu na ardhi.... jamani lets be serious

Matusi hayo uliyavumbua wewe?
 
jamani amrudishe wapi wakati serikali anachukua Dr. Slaa mwaka huu, najua wengi hamtaki kuamini mwang'ang'ana na mambo ya takwimu, ila kiukweli wananchi wengi wamechoshwa sana na ujambazi wa ccm, hivyo tarajieni anguko kubwa la kihistoria Africa hapo october. ccm mwaka huu hawana chao hizo mbwembwe za umati wa kwenye mikutano wengi hufuata burudani za wasanii na kushangaa wasanii wakubwa wa kibongo but kiukweli ccm wanahali mbaya sanaaa.

Mashekhe Yahaya Huseni wamejaa tele kwenye ukumbi huu.
 
wewe patel. waziri mkuu upitishwa na Bunge na sio rais, ras uteua tu. So take care with your words, Next president is DR. W.P.Slaa who will not let thieves enjoy in system.

Kwani zile pesa za safari ya Papa keshazirudisha?
 
Ina maana tume ya Mwakyembe wote ni wapumbavu na kazi waliyoifanya ni kazi bure?. Sasa kama Lowasa ni msafi kwanini JK alikubali na kubariki kujiuzulu kwa Lowasa?.

Ndugu zangu watanzania, nchi si yetu sote bali ni mali ya watu wachache sana. Wanafanya wapendacho na wako juu ya sheria.

Ni ukweli usiofichika kwamba watanzania wenye mapenzi ya kweli ya nchi yao wameshangazwa na kauli hii ya Jakaya (Lowasa ni MSAFI).

Tunakokwenda ni kubaya, itafika wakati watanzania wataanza kuvaa mabomu na kujilipua ama kulipua mali za mafisadi na familia zao.

Kwanini nilizaliwa mtanzania?
 
Huu ni upumbavu. waliomsingizia amewachukulia hatua gani hasa ukichukulia walimsingizia waziri mkuu wa nchi? Huyu jk alimpa sifa gani Mwakyembe kule Kyela alipokuwa anamnadi? Shame on you jk.
 
:confused2: ndege warangi moja huruka pamoja, sishangai kusikia haya.
 
wamasai huwaambii chochote kuhusu LOWASA.... JK hakuwa na haja ya kumnadi MONDULI wanamkubali lowasa
 
Arudi ccm
Yule mwana asiyetulia nyumbani,Kiboko(jina sikulipata vizuri) Kutoka ccj, chadema NRA amerudi ccm akiwa kavaa suti nyeusi na kupokelewa na makamba.
Kazi tunayo
 
wamasai huwaambii chochote kuhusu LOWASA.... JK hakuwa na haja ya kumnadi MONDULI wanamkubali lowasa
Tena inasemekana wakati wanapiga kura za maoni yeye alikuwa Nzega..Kule ni kama mungu wao wa pili baada ya Edward Moringe(rip)
 
Mbona huyo binti ananikonyeza,mi naogopa kwenda jela kama babu Seya!Mwambie atulie kidogo
avatar16818_1.gif

Kadianli! Sasa hivi Mkuu wako wa kazi yuko Uingereza kujitetea kwa masuala haya haya, fanya kwa siri basi!!
 
jamani hizi siasa za tanzania mbona kichefu chefu zinachefua mpaka bac jamani yani lowasa ni msafi hii inamana akuna aliyemsafi ata mmoja na kwa stail hii anarudi tena madarakani aje amalize kabisa du tumekwisha
 
EL atarudi kuwa Waziri Mkuu..

TobaH!! i will go on the RAMPAGE kama jamaa akirudi huko! Mungu Ibariki Tanzania
 
Kwa mpango huu anamwandalia nafasi baada ya uchaguzi kama ccm itashinda, tumekwisha watanzania wenzangu tusipofanya CHANGES october 31.

Binafsi naamini kuwa tukipotea step Kikwete akachaguliwa kuwa rais we are in a tunnel of darkness for 5 years!! This guy kwanza ana vielements vya chuki na visasi achilia mbali kutokuwa na competency na kazi ya urais. Infalation inaweza kukimbiato over 3000 TZS kwa dola moja.

I can't imagine miaka mitano na JK, naogopa!!
 
Mbona haya tuliyasema mapema jamani.. hakuna wakati wowote ambapo hawa wawili hawakuwa wamoja.. na chances ni kuwa EL atarudi kuwa Waziri Mkuu.. walianza pamoja watamaliza pamoja..si unajua tena "hawakukutana barabarani"?

yaelekea mkuu ungependa kuona ccm inarudi madarakani
 
Naaaah!
Lowasa is clean, and one of those well respected and charismatic guys in our nation's political arena

Raj,
huu utani acha kabisaa!! kwa kweli unaudhi na kukera sana, nimegundua unatuona wengi ni bonge ya malofa.
Tena kuanzia sasa hivi tuma maono yako kwa kiswahili, nadhani tutakuelewa zaidi!
 
Back
Top Bottom