Kikwete yupo live muda huu

mnasikia hiyo eti kikwete anasema tuwaepuki viongozi wa siasa wanaotaka kuwatumia wananchi kujinifaisha je haya yako sahii ndugu zangu huyu anayoyazunggumza huyu kwere
 
Kikwete angalau anaweza kuacha kumbukumbu ya katiba mpya ambayo itakuwa ni 'remarkable' kwa miaka mingi ijayo....lakini.,kwa nini hii 'cabinet' yake inaonesha mgawanyiko na hakuna ile 'oneness' tuliyoitegemea kama timu iliyo chini kocha mmoja yani rais? Hii inanipa hofu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom