Elections 2010 Kikwete Live on Power Breakfast (Clouds FM)

Anaongelea vijana na elimu ya ufundi na anasema kapanua vyuo vikuu je watafkaje huko kama sec za kata hazna walimu?hana mpya
 
Kachelewa kwa zaidi ya saa moja itakuwa vizuri wakimuuliza kulikoni hadi kuchelewa kiasi hicho?
Huenda walikuwa wanadiscuss maswali yao kwanza na kukubaliana yapi yanafaa kuulizwa na kumpa mheshimiwa muda wa kupata data kidogo.
 
Hivi wadau mnamuelewa huyu jamaaa, anabwabwaja tu na kucheka cheka. Anaambiwa azungumzie elimu naona anazig zag tu,
Hivi kweli huyu ndiye baadhi ya watu wanadhani atafaa kuwa raisi?
Ooooh come on, give me a break here people!!!!
 
Hivi ni bora kujenga machinga complex au kuboresha mazingira mikoani ili kusiwe na hii influx. Stupid! Ni sawa na kusema tuongeze kondom na ARVs!
 
Umeckia kua ataongeza ajira kwenye bar?wafungua visoda na wasukuma mikokoteni.but mbona sauti yake inamashaka?au c yeye?
 
Huenda walikuwa wanadiscuss maswali yao kwanza na kukubaliana yapi yanafaa kuulizwa na kumpa mheshimiwa muda wa kupata data kidogo.
anaongea kuhusu wasaniii jamani sikilizeni huyu mtu ntapasua kijiredio hiki!
 
Mtakao bahatika kuuliza swali jamani tafadhali,ulizeni hili la matundu 4 nyumbani kwake Bagamoyo kutumia milion 700 kwa kila tundu ilikuaje na yeye akapiga makofi alipopewa ripoti na Waziri Kawambwa!

Jamani swali hili linabeba mustakabali mkubwa wa matumizi holela ya pesa zetu;yaa nasisitiza ni hela zetu sote sio zao pekee yao!
 
Kikwete asema groceries zimeleta ajira ya wabeba masanduku ya bia na wafungua bia na soda
 
Hivi ni bora kujenga machinga complex au kuboresha mazingira mikoani ili kusiwe na hii influx. Stupid! Ni sawa na kusema tuongeze kondom na ARVs!

Majibu rahisi kwa maswali magumu.business as usual..
 
analeta usasa katika kilimo.. safari ya kupunguza kutumia jembe la mkono... kigugumizi, kama ana stress sana aisee... tumuombee rais wetu
umwagiliaji, kilimo cha kisasa, vifaa vipya, madawa, mbolea nk...

things are not flowing my president, pole na stress
 
Back
Top Bottom