Elections 2010 Kikwete Live on Power Breakfast (Clouds FM)

Mbona nimekaba Clouds tangu moja na dk 21 nasikia muziki tu, kaingia mitini?:bowl:
Ama wanamalizia ku-print majibu ili aje kuyasoma? Ama wanamalizia kuwapatia mapandikizi maswali ya kuuliza?

Kaaaazi kweli kweli.....! Ama huu muziki ndio anachosema???????????? Ama amedondoka tena????????????
 
Kama kawaida nitawaletea sehemu ya mahaojiano haya punde sasa hivi ni saa mbili tokea saa moja na nusu sijasikia wakiongea chochote ni mambo yao na matangazo kibao
 
Clouds watakuwa wanarecord kwanza kumhakikishia mshikaji usalama wake na simu zitapigwa kabisaaaa toka kwa makada harafu ndo wakirushe hewani na kwa sababu sisi hatutakuwa na uwezo wa kujua tutajua wako live. Kama anashindwa kuwa ontime je anaweza kutuongoza tena mkwele? kuna deal linachezwa.
 
JK mzee wa kucopy na kupaste leo Slaa yuko Iringa sijui nae atakuja?
 
Clouds watakuwa wanarecord kwanza kumhakikishia mshikaji usalama wake na simu zitapigwa kabisaaaa toka kwa makada harafu ndo wakirushe hewani na kwa sababu sisi hatutakuwa na uwezo wa kujua tutajua wako live. Kama anashindwa kuwa ontime je anaweza kutuongoza tena mkwele? kuna deal linachezwa.

Hiyo inawezekana kabisa he he he he he
 
Clouds watakuwa wanarecord kwanza kumhakikishia mshikaji usalama wake na simu zitapigwa kabisaaaa toka kwa makada harafu ndo wakirushe hewani na kwa sababu sisi hatutakuwa na uwezo wa kujua tutajua wako live. Kama anashindwa kuwa ontime je anaweza kutuongoza tena mkwele? kuna deal linachezwa.

It is very likely maana huyu jmaa hana utamaduni wa kuembrace free and open discussion! kwa kifupi ni mwoga kuliko kawaida!
 
Naona supa clouds fm wamechemsha au wameona ni bora wagonge breakfast ya nguvu pale Ikulu na inakuwaje uchaguzi unafanyika huku JK bado ni Raisi na yupo Ikulu bado kweli hata akishindwa atakubali kung'oka??
 
Ndo ameanza mida hii..wanamuuliza kuhusu makundi maalum
 
Sasa hivi Kikwete anaongea na Power Breakfast ya Clouds FM asubuhi hii tena Ikulu. Mbona hawa jamaa wa Clouds wamekuwa karibu sana na Ikulu siku hizi? Media zingine mbona hazialikwi Ikulu? Hii imekaaje wadau?
 
Back
Top Bottom