KIKWETE: Leteni Majina ya Wajumbe wa KATIBA niwateuwe!

samahani...

naona hii move ni hcanga la macho tu, huwa hasikilizi watu

yani we jamaa kila jambo ni la lazima uwe mpinzani tu,anywayz bwana pengine na wewe huo ndio ulemavu wako maana inasemekana kila binadamu anakilema fulani
 
Katika hili akiweka itikadi za chama basi atachafua jina lake. Hata hivyo, tangu mwanzo ameonekana kutofautiana na chama chake. Lakini ngoja tuone hadi mwisho wa safari. Kama ataweka maslahi ya taifa mbele basi atakuwe ameweka historia.
 
Hakika JK tutakukumbuka kwa Katiba. Hii ni kama utafanikisha bila kuyumbishwa na magamba
 
Hakika JK tutakukumbuka kwa Katiba. Hii ni kama utafanikisha bila kuyumbishwa na magamba

Hili ndio bao pekee analoweza kuwafunga marais wote waliotangulia na kuingia kwenye historia ya vizazi vya vizazi,kumkumbuka kwamba alikuwapo rais anaitwa jakaya mrisho kikwete ndio alieleta mapinduzi haya tunayoyafurahia leo,alikua na mambo mawili,kuipatia tanzania umeme wa uhakika kupitia mradi wa stieglers gorge mfupa ambao umewashinda marais wote akiwaemo nyerere ambae angalau alianzisha japo aliishiia njiani na hili la kuipatia tz katiba ya kisasa,la umeme kishalipoteza kwa sasa hii ndio ngumi yake ya mwisho ya ushindi.
 
Jamaa zetu wa "vyama vingi" wakiwemo wafuasi wa vinega ambao wamo wengi humu hata akifunga hilo bao hawatakubali mpaka afunge slaa hata bao la mkono ndio watalishangilia..siasa za maji taka at work,kupinga pinga kila jambo..!
 
samahani...

naona hii move ni hcanga la macho tu, huwa hasikilizi watu

una matatizo makubwa sana,angekua hasikilizi watu jamaa zako wangekuwa wanakwenda ikulu kufanya nini?? kunywa zile juice tu na kuondoka au?

Ina vichwa vyote vile vikiongozwa na wataalam wa sheria waliobea kama tundu lisu,prof mwesiga baregu,prof safari wote hawana akili kwenda kusikilizana na rais kikwete pale ikulu isipokuwa wewe kinega mmoja tena kutoka chadema kata ndio una akili nyingi sana...funguka mzee toka kizani ufungue macho uone yanayotendeka badala ya kuishi katika dunia yako ya kufikirika zaidi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom