Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
- Thread starter
- #61
Tunakushukuru MMM kwa mchango huu.
urwelcome! ni mchango mdogo tu; naamini yamewakelisha hisia na mawazo ya watu wengine wengi tu.
Tunakushukuru MMM kwa mchango huu.
Mkuu Mzee Mwanakijiji, "yes indeed kuna tatizo katika uongozi wetu", we had a choice!, that what we choose!. "Choose your Love, and Love your Choice"!. We choose the problem, we have to love it, its our choice!"Kuna tatizo la msingi katika uongozi wetu!
Mkuu Mzee Mwanakijiji, "yes indeed kuna tatizo katika uongozi wetu", we had a choice!, that what we choose!. "Choose your Love, and Love your Choice"!. We choose the problem, we have to love it, its our choice!"
Long Live Kikwete!, Long Live CCM!. It was our choice!, call it what you may, be it "NEC choice", or "uchakachuaji"!, that is it!, our choice!. We have to love it!.
Kumbukeni Dr. Mponda alisha
andika barua ya kujiuzuru inasemekana JK alimwambia atulie tu huu ni upepo unavuma tu
Kama huo ni mfano basi tutarajie Rais Kikwete kuwaita majina ya ajabu madaktari. Bado tunakumbuka jinsi Waziri Mkuu mara ya kwanza alipoamua kumuita jina baya (demonize) Dr. Ulimboka na kumdunisha mbele ya jamii. Safari hii kuna uwezekano wa madaktari wote kujaribiwa kufanywa duni na kuitwa waongo, wanafiki na kama tumesikia maneno ya karibuni basi hawana utu, siyo wazalendo, na hawajali viapo vyao. Yote haya yatafanyika katika kuhalalisha hoja kuwa serikali haijafanya makosa na haipaswi kulaumiwa kwa yanayotokea.
Akichagua njia hiyo manake ni kuwa madaktari watatakiwa kurudi kazini mara moja na vitisho vingi baada ya historia ndefu itakayokuwa inashangiliwa na wazee walioalikwa. Hapa atapata ushujaa wa muda na sifa za kitambo; tatizo la msingi litakuwa halijatatuliwa.