Miye natarajia hivyo lakini pia naombea kuwa for once atakubali kuwajibika yeye mwenyewe na kulimaliza hili baada ya kuwalilia madaktari kwa kuwafukuza kina Nkya na Mponda. Njia nzuri ni kulia "madaktari wameshindwa kuonesha utu, ndugu zangu kwa kweli tumejitahidi sana, lakini madaktari hawataki. Sasa sisi tumefanya kila lililo ndani ya uwezo wetu kutatua mgogoro lakini wenzetu hawa wameamua kugoma. Imebidi hadi twende mahakamani, na sasa mahakama imeamuru warudi sasa na mimi nasema warudi; wasiporudi kwa kweli kabisa itabidi tuwafukuze na kama kuanza upya tutaanza upya. Wametaka mawaziri hawa waondoke miye nimekubali. Sasa basi warudi kazini". .
One thing for sure, ni whatever the path he may choose, Watanzania wata rally behind their beloved president!. Kwa avarage Tanzanians, uamuzi wowote wa rais wao ndio the right decision no matter what!.
!.
Unatia huruma sana kuwa tarumbeta la wenzako ambao wako kwenye Land cruiser V8 saa hizi, wewe ni sawa na condom tu, ni wa kutupwa tu baada ya kutumiwa. pole sana.Kama aliweza kuwazima wale wengine kabla ya uchaguzi hii ni rahisi sana kwa mheshimiwa...
Rais ameshastukia janja yenu, mnataka akubali kumfukuza Nkya na Mponda halafu mseme rais hana akili amesikiliza pressure za madaktari, hilo halitatokea.
Wee JB Wiser, ustake kuntibua!. Kwani JK kawekwa pale na nani?. Hao unaowaita wajinga na wapumbavu ndio Watanzania wenyewe na wewe ukiwepo!.Pasco tuombe radhi Watanzania kwa kutukejeri kwamba sisi ni wajinga wa viwango hivi, kwamba Mswahili yeyote anaweza akatulisha porojo za kikupumbavu!
Ungeeleweka kama ungesema wazee wa CCM wao ndio watamsupport Kikwete maana ile mishipa yao ya fahamu ilishakufa miaka mingi iliyopita.
Wee JB Wiser, ustake kuntibua!. Kwani JK kawekwa pale na nani?. Hao unaowaita wajinga na wapumbavu ndio Watanzania wenyewe na wewe ukiwepo!.
Tena unaweza ukakuta wewe ni mmoja wa wajinga wakuu na wapumbavu wakubwa kabisa ambao hawakupiga kura kumwajiri JK bila sababu za msingi, unabaki kazi kulalamika na kichekesho kikubwa zaidi au ujinga na upumbavu mkubwa zaidi utakuja 2015 Watanzania sisi sisi tutakapo waajiri tena watu wale!.
Kikwete kwa hakika amewekwa madarakani na hawa wafuatao:
Rajabu Kiravu, Lewis Makame na Usalama wa Taifa, ninakubali inawezekana kabisa mimi ni mpumbavu ila mpumbavu zaidi na zuzu wa kwanza ni yule anayeiaminisha nafsi yake kwamba Lowasa anaweza kuja kuwa Rais wa nchi hii!! huyo ni mjinga kabisa tena anaishi katika pepo ya mabweke kwenye nchi ya kusadikika. Pasco!!??
Kikwete haambiliki wala habadiliki.
Style ya kuongea ya kuongea na wazee maswala yanauohusu watu wengine ni dhahiri kwamba anachpkwenda kuongea ni majungu, fitna na uwongo ambao hawezi kuuongea mbele ya madaktari.
Huyo ndo Kikwete wa Lugoba.
Tatizo kubwa serikali inauangalia huu mgomo wa madaktari in isolation. Jambo ambalo hawataki kujua ni kwamba huu mgomo ni kielelezo tosha cha jinsi watanzania wa sasa wanavyokinai na uongozi dhaifu.
Jambo rahisi na la wazi kama la madai ya madaktari serikali inashindwa kutatua? Wataweza nini? Karibu sekta zote wafanyakazi wamechoka, kuanzia polisi, walimu, na hata kwenye serikali kuu watu hawana ari ya kazi hata kidogo. Na jinsi serikali inavyozidi kujivuta ndio watu wanazidi kukinai.
Unatia huruma sana kuwa tarumbeta la wenzako ambao wako kwenye Land cruiser V8 saa hizi, wewe ni sawa na condom tu, ni wa kutupwa tu baada ya kutumiwa. pole sana.