Kikwete kwenye starehe ok, lakini kwenye shida?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
GO9G7415.JPG

Nimeshuhudia Viongozi wengi duniani wanapimwa uwezo wa kuwajali wananchi kwa kuwa makini kushughulikia kero mbalimbali za dharura kama mafuriko kama yaliyotokea Kilosa na kwengineko, mauaji Arusha nk.
Naona muhimu kwake kufanya tafrija Ikulu na kuhudhuria party ya kuzaliwa Waziri wa Zamani Msuya kuliko kwenda kuwajulia hali aliowajeruhi Arusha.
 
ilikua tafrija ambayo familia na marafiki zake mzee msuya walimfanyia ktk kutimiza miaka 80. walihudhuria viongozi wengi wa sasa na wa zamani.sikuona kiongozi yeyote wa upinzani.kwa upande wa viongozi wa dini alikuepo askofu malasusa toka kkkt. akiongea kuwashukuru wageni waalikwa,wakiongozwa na rais kikwete,alisisitiza kufanya kazi kwa bidii na uzalendo. alimwambia jk ahakikishe watanzania wengi wanapata ajira ili kupunguza malalamiko ya waanchi kwa serikali.
 
GO9G7415.JPG

Nimeshuhudia Viongozi wengi duniani wanapimwa uwezo wa kuwajali wananchi kwa kuwa makini kushughulikia kero mbalimbali za dharura kama mafuriko kama yaliyotokea Kilosa na kwengineko, mauaji Arusha nk.
Naona muhimu kwake kufanya tafrija Ikulu na kuhudhuria party ya kuzaliwa Waziri wa Zamani Msuya kuliko kwenda kuwajulia hali aliowajeruhi Arusha.

Mzee wa mwambao huyo!! Minuso kwa sana. Kazi kuuza karanga walizolima wenzie, yeye kushika jembe hapana. Mwambie acheze bao, mtaelewana.
 
Mimi huwa najiuliza pengine ni kwamba tulimkosea Mungu ndio akatuadhibu kwa kutuletea mtu huyu,yaani pamoja na mapungufu ya kiuongozi amekaa kistarehe starehe tu,hajali shida za wananchi, nchi haina uongozi imekaliwa na waponda raha,majangili,mafisadi,wezi hata kuwataja hawaishi.
 
kweli ccm mmetuchoka decade hii, hivi kulikuwa hakuna kiongozi mwingine yeyote mwenye sifa na uwezo zaidi ya mkwere?
 
Tusilaumu washauri kwani mwenyewe katuasa ushari/akili wa mwingine changanyana na za kwako. hapa kesha changanya na zan kwake
 
GO9G7415.JPG

Nimeshuhudia Viongozi wengi duniani wanapimwa uwezo wa kuwajali wananchi kwa kuwa makini kushughulikia kero mbalimbali za dharura kama mafuriko kama yaliyotokea Kilosa na kwengineko, mauaji Arusha nk.
Naona muhimu kwake kufanya tafrija Ikulu na kuhudhuria party ya kuzaliwa Waziri wa Zamani Msuya kuliko kwenda kuwajulia hali aliowajeruhi Arusha.
Success is a rare paint; it hides all the ugliness. by; Sir C. Herold
 
Wakati wa mauji ar alikua zenj kwenye hotel yake kempinsk na familia yake yote akila maraha!
 
Katika kutafakari viongozi wanaotumia walau theluthi moja ya ubongo wao kwa masuala ya wananchi naomba huyu ndugu mumtoe kabisa. Tusitegemee chochote (cha kuleta maendelo) toka kwa Mkwere huyu. Yeye utamwona Taifa stars ikishinda. Atajionyesha kuwa yeye ndiye kafanikisha hayo. Ikiboronga kamwe humsikii. Utamwona kama kuna minuso Ikulu. Kwenye maafa akibahatisha atawatuma wasaidizi wamsemee. Utamwona kwenye safari za nje ya nchi, hawakukosea waliomwita John Walker. Muulize safari zote alizozifanya nje ya nchi toka atwae mamlaka ya nchi hii matokeo yake ni yepi. Si dhani kama utapata jibu. Sanasana atakwambia Nimepata msaada wa ujenzi wa Udom, nimepata msaada wa kuendeleza Kivukoni na nimefanikiwa kuwa kusanya wawekezaji (aka wafilisi wa nchi) kwa aajili ya rasilimamli zetu.
 
nahoji uelewa wa washauri wake...labda wanamshauri vibaya.. nyakati zitafika tu.,

Tusiwalaumu bule washauri wake, nasikia huyu mtu ni mbishi saana hivyo wameamua waishi naye kinafiki huku wakijilia bata zao taartibu. Mimi ninavyofahamu mtu ukijifahamu uwezo wako kwamba ni mdogo inatakiwa usiwe mbishi sana unaposhauriwa na wasomi
 
GO9G7415.JPG

Nimeshuhudia Viongozi wengi duniani wanapimwa uwezo wa kuwajali wananchi kwa kuwa makini kushughulikia kero mbalimbali za dharura kama mafuriko kama yaliyotokea Kilosa na kwengineko, mauaji Arusha nk.
Naona muhimu kwake kufanya tafrija Ikulu na kuhudhuria party ya kuzaliwa Waziri wa Zamani Msuya kuliko kwenda kuwajulia hali aliowajeruhi Arusha.

zungumza vtu vyenye maana,yeye aliusika vp kuwauwa?aliwaambia muandamane?walipewa kibali cha mkutano wao wakaamua kufanya na maandamano walitegemea nini kma siyo ayo yaliyowakuta,
 
Wakati wa mauji ar alikua zenj kwenye hotel yake kempinsk na familia yake yote akila maraha!

wee kweli bongolala sa ulitegemea asiende kupumzika kwa ajili ya maandamano yenu, ambayo ayakupa baraka za wenye nchi,ndo maana mkadundwa rudieni tena!watawaumizg zaidi shauri yenu
 
GO9G7415.JPG

Nimeshuhudia Viongozi wengi duniani wanapimwa uwezo wa kuwajali wananchi kwa kuwa makini kushughulikia kero mbalimbali za dharura kama mafuriko kama yaliyotokea Kilosa na kwengineko, mauaji Arusha nk.
Naona muhimu kwake kufanya tafrija Ikulu na kuhudhuria party ya kuzaliwa Waziri wa Zamani Msuya kuliko kwenda kuwajulia hali aliowajeruhi Arusha.
Rais Mahiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom